supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Msaada wakuu. Ni sehemu gani Dodoma naweza pata garage au mafundi wazuri wa hii gari? Maana nahisi kama mafundi wengi naowapelekea hii gari inawashinda. NB: Ina tatizo kwenye kuwasha, ukipiga switch kuna muda inakataa but ukirudia kama mara 4 ndo inakubali, but wakati mwingine ni jino moja tu imewaka!