Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Una uhakika na ukisemacho

Umewahi kukutana na altezza 3S GE cc 1998 au altezza Gita 2JZ ila hiyo brevis yako cc 2500 ukimfukuza utaambulia moshi tu.

Brevis mark 2 grand caldin za kike na kizee mjini umewahi kuona mzee anaendesha altezza kamawapo wanahesabika kwani haiwapendezi ila brevis hata babu yangu anayo maana nzito.

Kwa kijana kama pochi ipo opt for altezza you wont regret safari ipo ina balance body ngumu isifuate inavyoimba ukiifuata tunakuokota kwenye mtaro.
 
Gx 110 ndio gari pekee hapo.. Wote hao watakuja wataenda wataiacha.. Ni practical vehicle... Rear drive.. Imetulia barabarani handling safi kabisa.. Economical ukilinganisha na ukubwa wa injini... Injini take very reliable..
 
1511085081508.png
1511085099068.png
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
NIliiacha mbali sana from dsm to mbeya mm nilikuwa na subaru wrx kama wahifahamu
 
Mkuu chukua mark II grand Gx 110, 2.0L,
2002/2004 Si mbaya
Lita 14.5 kwa kilometers 100. Pia comfortable kinoma

Mmmmh,Mkuu una uhakika hilo gari la mwaka huo linakula wese kiasi hicho???
 
Back
Top Bottom