Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

hz zote takataka mkuu.. gari za kufanana kama bikin... tafuta hyundai sonata 3 au 4.. tafuta benz compressa.. au hata subaru impreza..
Nashukuru Mkuu nazidi kupata experience ya Magari bora zaidi, ngoja na hayo niyaweke kwenye orodha
 
Simtishi mtu kaka nimesema nina altezza 3S GTE na progress 2JZ 3.0 FDE kwa safari nikiwa na hizo mbili altezza inanihamasisha zaidi nyepesi.
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
[emoji23]
 
[emoji23]
 
Wakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa na shughuli za pori kiasi!?
Mbona hujaijumuisha ford ranger au mm ndo mshamba wa magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…