Tatizo ni bayaa, halina mvuto kama Mark X labda au Crown halafu to make matters worse ni li 2.4L engine yake ni 2AZ kama Harrierπ jini hilo,linabwia vibaya mno,kuna jamaa anaangaika nalo kuliuza lkn wapii!
Wazungu wanaitaga boats, riding on a boatKule Nigeria ni maarufu kwa jina la Camry'big for nothing'.,hahah.
Crown all the way,,,huyo nu mnyama kaziCrown vipi wadau?
Katika Camry sijawahi ipendaga ni hii, imekaa kiboya sana. Hii waendeshe wazee kumalizia pensheni zao sio kijana unakaa humu ni aibu.Touring nadhani hiyo,hivi hili dude ulaji wake wa mafuta na altezza uko vipi mkuu?View attachment 1181509
Crown all the way,,,huyo nu mnyama kazi
Iko mkao sana mzee faza, ingekuwa nna kimango ya maana sahivi ningeanzia kwa Crown kisha nikahamia Lexus mazima.aise ile chuma kama nilitamani benz bas naeza jifariji nayo kama Plan B iko tooo classy
Alisikika yule teja alie chomoa betri akisemaGari x trail tu
Iko mkao sana mzee faza, ingekuwa nna kimango ya maana sahivi ningeanzia kwa Crown kisha nikahamia Lexus mazima.
Ziko za kutosha humo, GS...ES...RX...LX...itakayonikolea tu as long as mawe yapo.[emoji23][emoji23]Lx 570.......
ile uwa naiona sawa tu na mark 2 gx 100,zote zimekaa kizeeKatika Camry sijawahi ipendaga ni hii, imekaa kiboya sana. Hii waendeshe wazee kumalizia pensheni zao sio kijana unakaa humu ni aibu.
ππππ€£π€£π€£π€£ mara 10 hata GX100. Hio Camry iko kama geisha haieleweki hata kidogoile uwa naiona sawa tu na mark 2 gx 100,zote zimekaa kizee
We mzee ngoja nikuachie vista ππ,binafsi hilo touring,gx 100 na vista body zake azinivutii kabisaππππ€£π€£π€£π€£ mara 10 hata GX100. Hio Camry iko kama geisha haieleweki hata kidogo
Brevis kwa long distance inafaa Sana. I'll kwa mizunguko ya mjini uwe vizuri inakula sana mafutaGari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Ziko za kutosha humo, GS...ES...RX...LX...itakayonikolea tu as long as mawe yapo.
Vista ziko aina mbili, ile iliokaa kama spacio ya kuitwa Vista Ardeo ile naipenda hasa nyuma ilivyokaa na taa zake πππ ila kale kalikokaa kama taxi hapana, same applies to progress na kitu kinaitwa will vsWe mzee ngoja nikuachie vista ππ,binafsi hilo touring,gx 100 na vista body zake azinivutii kabisa
ππmimi ni muumin wa subaru legacy,kwa mbali uwa napitia pitia tezza na brevisVista ziko aina mbili, ile iliokaa kama spacio ya kuitwa Vista Ardeo ile naipenda hasa nyuma ilivyokaa na taa zake πππ ila kale kalikokaa kama taxi hapana, same applies to progress na kitu kinaitwa will vs
π€£π€£π€£π€£π€£ Legacy B4 au ile Legacy touring!?ππmimi ni muumin wa subaru legacy,kwa mbali uwa napitia pitia tezza na brevis
Gt twin turboπ€£π€£π€£π€£π€£ Legacy B4 au ile Legacy touring!?