Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

aise ile chuma kama nilitamani benz bas naeza jifariji nayo kama Plan B iko tooo classy
Iko mkao sana mzee faza, ingekuwa nna kimango ya maana sahivi ningeanzia kwa Crown kisha nikahamia Lexus mazima.
 
Tafuta mark 2 gx110 iliyofungwa injini ya 1jz gte, ni balaa
 
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 mara 10 hata GX100. Hio Camry iko kama geisha haieleweki hata kidogo
We mzee ngoja nikuachie vista 😃😃,binafsi hilo touring,gx 100 na vista body zake azinivutii kabisa
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Brevis kwa long distance inafaa Sana. I'll kwa mizunguko ya mjini uwe vizuri inakula sana mafuta
 
We mzee ngoja nikuachie vista 😃😃,binafsi hilo touring,gx 100 na vista body zake azinivutii kabisa
Vista ziko aina mbili, ile iliokaa kama spacio ya kuitwa Vista Ardeo ile naipenda hasa nyuma ilivyokaa na taa zake 😂😂😂 ila kale kalikokaa kama taxi hapana, same applies to progress na kitu kinaitwa will vs
 
😃😃mimi ni muumin wa subaru legacy,kwa mbali uwa napitia pitia tezza na brevis
 
Back
Top Bottom