Brevis Bei nafuu. WHY?

It's okay lakini hiyo Brevis hata ukiagiza ina matatizo hayo..mi ni mtu wa gari sanaaaa naelewa hizi kitu na shida zake
Ni gari nzuri ila inaoneka kama zina shida flani hivi common....kuna masela walikuwa nayo ndiyo imesajiliwa tu namba D, ghafla likawazimikia tuko kwnye foleni....wakasaidiwa kubust wapi, wakaongeza mafuta wapi, fungua fungua huko kwenye engine......tukawaacha hapo sijui walikuja kugundua tatizo lilikuwa nini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…