PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mwizi anaiba brevis alafu anaenda kuuza wapi??Usikute za wizi hizo ukaishia Sege-dansi ukose kujifukiza/Nyungu Season 3
Kuna Magari ambayo wezi wanaweza kuiba lkn sio brevis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwizi anaiba brevis alafu anaenda kuuza wapi??Usikute za wizi hizo ukaishia Sege-dansi ukose kujifukiza/Nyungu Season 3
Watundu wa kufanya modification wapo Nairobi Mkuu huku bongo bado....Hivi haiwezekani kufunga engine ya 1G-FE katika hio gari?
Mmh ka Passo hapana kwa kweli.. unajihisi umekalia Pott ya mtoto[emoji1787]Kwa hiyo inataka kulingana ubovu Kama toyota passo piston tatu
ujaona fuga ukoo mkuuInsta kumefululiza matangazo ya BREVIS zinazouzwa Bei Chee 4.8 m TZS, Tena namba "D" hizi gari Zina tatizo gani?
mkuu pott ya mtoto ina afadhali mbona Kiduku Lilo 😅Mmh ka Passo hapana kwa kweli.. unajihisi umekalia Pott ya mtoto[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
unamaanisha nn😕Fuga nayo ni kwikwi!
spea za bongo mm siziamin ata kama zipo naagiza njee ni tu viyu kwa kawaida ivo[emoji2]Very comfortable ila spea zake Ni balaa labda MasterCard Msimbazi au uagize ughaibuni
Ni gari nzuri ila inaoneka kama zina shida flani hivi common....kuna masela walikuwa nayo ndiyo imesajiliwa tu namba D, ghafla likawazimikia tuko kwnye foleni....wakasaidiwa kubust wapi, wakaongeza mafuta wapi, fungua fungua huko kwenye engine......tukawaacha hapo sijui walikuja kugundua tatizo lilikuwa nini..?It's okay lakini hiyo Brevis hata ukiagiza ina matatizo hayo..mi ni mtu wa gari sanaaaa naelewa hizi kitu na shida zake
Hata hizi toyota za siku hizi mafundi wanaziogopa....basi tu wanatengeneza kwa kubahatisha kwa sababu spea zinakuwepo..Ok sasa ni shida basi tuhamie kununua nissani wakati mafundi wa nissan hamna
nafungia nairobe kenyaFundi nae unaagiza nje? Wapo mafundi unampa spea OG anakufungia famba
wape hybrid uone kama umeme utafika huoHata hizi toyota za siku hizi mafundi wanaziogopa....basi tu wanatengeneza kwa kubahatisha kwa sababu spea zinakuwepo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]ndiyo maana unatakiwa umsimamie fundi wako..Fundi nae unaagiza nje? Wapo mafundi unampa spea OG anakufungia famba
Nina sibling huko mbeya anauza hiyo Fuga Nisan..lol Ni mzuri and comfortable.. niliwahi push..ooush too[emoji8][emoji8] bt haijamaliza muda anaipush[emoji849]ujaona fuga ukoo mkuu
Uzito upo Kwenye kumpata mtejaIsiibiwe kwa sababu Ni nzito au?
Kimeo hicho chief. Huyo atakaenunua atajuta maisha yake yoteNina sibling huko mbeya anauza hiyo Fuga Nisan..lol Ni mzuri and comfortable.. niliwahi push..ooush too[emoji8][emoji8] bt haijamaliza muda anaipush[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upoteze kumsimamia fundi. Wenzetu hamnaga kazi za kufanya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]ndiyo maana unatakiwa umsimamie fundi wako..