Brevis Bei nafuu. WHY?

Anyway,. Mnaokaa kwa mashemeji zenu hamnaga stress
Yote ni maisha...ilimradi uhai na uzima...

Isitoshe, mimi nikitenga muda siku moja kwa miezi sita nikamsimamia fundi anifanyie kazi ya uhakika kuna tatizo gani...?

Ukiona unakosa muda wa kusimamia shughuli zako, jua wewe ni punguani...

Time management kwako ni zero...

Please, Wasalimie matajiri wenzako..
 
Brevis Majanga

Haijafikia kuwa majanga, labda kwenye issue ya mafuta unaweza kuita hivyo. Au ndo wale mafundi wetu wa kupiga ramli washazichokonoa. Nimeitumia miaka minne imepata shida za kawaida kabisa. Na ilikuja ikiwa na zaidi ya km 100,000/=. Na bado inadunda
 
Haijafikia kuwa majanga, labda kwenye issue ya mafuta unaweza kuita hivyo. Au ndo wale mafundi wetu wa kupiga ramli washazichokonoa. Nimeitumia miaka minne imepata shida za kawaida kabisa. Na ilikuja ikiwa na zaidi ya km 100,000/=. Na bado inadunda
Hongera
 
Oil ya total haina kiwango ukilinganisha na Castrol?
Hizo 2,000 kms ulizozidisha kwenye standard ya 3,000kms/ service ndo zimeua engine yako. Mafundi unampa hell ya kununua Castrol Oil anaweka Total au za kupima. Anaenda kumalizia nyumba yake chanika huko
 
Hizo zinakula wese ndipo uchawi ulipo so ukitaka kuuza lazma ushushe bei la sivyo ufunge nalo ndoa...

Gari zanye matumizi nafuu kama IST hazishuki bei kwa sana hata ukimua kuuza hadi leo unaweza uza IST namba C kwa milioni saba ila sio brevis au mark x utauza milion 4[emoji23]
 
Na hayo yanayokula mafuta wengine ndio hobby zetu,sa hivi naitamani machine 1 hio ni 3uz-fe cc 4300 V8 na ni sedan.
 
BMW (SUV) zao zimekaa Kama box, finishing Yake ya kishamba Kama SUF. Hongera Nissan Patrol hata Land Cruiser
Land Cruiser is the ugliest SUV in the market ikifuatiwa na zile za Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…