Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Kila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]
VX V8 aka Kilimo Kwanza.Landcruiser ipi ambayo ni ugliest?
Wamarekani wanatengeneza gari mbaya kimuonekano.Hahahahah huyu jamaa anaongea nini aisee??? Muulize anaijua Ford Raptor?
VX V8 aka Kilimo Kwanza.
Shortly tunaweza kusema kwamba brevis zina kisiraniBrevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua ion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
Hivi vitu unavtovieleza ni vya kawaida sana kwa chombo cha moto kisicho fanyiwa maintenance...Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
Hivi vitu unavtovieleza ni vya kawaida sana kwa chombo cha moto kisicho fanyiwa maintenance...
Uliwela filter ya aina gani na ya kiasi gani?Hiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.
Tumia akili angalia nilichosema,nimesema gari hiyo inaweza kusumbua hata kama bado ni mpya,nilisha kua nayo,jamaa zangu wengi walikimbilia kuinunua,bararani unakutana nayo imeroga na ina muonekano wa upya..sasa kitu gani utanidanganya kuhusu Brevis..hiyo gari kimeo
Sina haja ya kukudanganya maana haiwezi saidia kitu ila katika hali ya kawaida gari kupasua radiator na kuunguza gasket hapo kiashiria ni cooling system ina changamoto either cylinder head au block ime crack au kutoboka kuzungumzia water pump kusumbua hio nayo ni kwenye cooling system ambayo inasababishwa na mambo mengi sasa kama gari haina maintence nzuri lazima hayo mambo yatokee na pia vitu hivyo vinaweza kutokea kwenye gari lolote lile lisilo na matunzoTumia akili angalia nilichosema,nimesema gari hiyo inaweza kusumbua hata kama bado ni mpya,nilisha kua nayo,jamaa zangu wengi walikimbilia kuinunua,bararani unakutana nayo imeroga na ina muonekano wa upya..sasa kitu gani utanidanganya kuhusu Brevis..hiyo gari kimeo
Zina shida gani za kiufundi Brevis kwa sababu mi nimetumia kwa miaka karibia minne na tayari ilikuja na km 110,000 toka Japan sijaona shida yake kubwa. Labda uniambie kwamba ina engine kubwa so na mafuta inakula kwa trip za town
Sasa unadhani ndogo hzoWese 2490cc?
Itakua unataka Crown Majesta..mkuuNa hayo yanayokula mafuta wengine ndio hobby zetu,sa hivi naitamani machine 1 hio ni 3uz-fe cc 4300 V8 na ni sedan.
Mkuu bongo wapo, Geartech Tanzania (Gtp) wapo Kijito nyama. Hao ndio wababe wa modifications kwa hapa Bongo.Watundu wa kufanya modification wapo Nairobi Mkuu huku bongo bado....
Sina haja ya kukudanganya maana haiwezi saidia kitu ila katika hali ya kawaida gari kupasua radiator na kuunguza gasket hapo kiashiria ni cooling system ina changamoto either cylinder head au block ime crack au kutoboka kuzungumzia water pump kusumbua hio nayo ni kwenye cooling system ambayo inasababishwa na mambo mengi sasa kama gari haina maintence nzuri lazima hayo mambo yatokee na pia vitu hivyo vinaweza kutokea kwenye gari lolote lile lisilo na matunzo
Sasa gari haina shida kwenye cooling system inapasuaje radiator? Inaunguzaje gasket naona huo uzoefu wako haujakusaidia kitu au ndo wale mnakaririshwa vitu? Kati ya engine bora kwa toyota ni hizo 1jz, 2jz na 4gr jamaa vipi weweSijui kama uko sawa aisee...au unadhani unaongea na mtu asiye mzoofu?rudi kutazama mada inasemaje,then uliza Brevis zina shida gani hata kwa watu!! Binafsi mimi dereva wa mashirika na mmiliki wa magari kadhaa mala kwa mala to mwaka 1996..sina sababu ya kusema haho yote lakini uzoefu wangu ni mkubwa nje na unavyo fikiri..unaeleza kila kitu hata mimi najua,lakini Brevis hua inazua hayo yote uliyosema na ikiwa haina tatizo lolote,cooling syatem inaweza kua vzr tu na ghafla gari ikaleta hizo shida..naamini wazi juu ya Brevis wewe huwezi jibu zaidi ya mtengenezaji mwenyewe,maana Brevis imechanganya wengi akili,hapa utakuja na maneno mengi sana ya kweli kabisa kitaalamu lakini Brevis inakugomea hayo yote
Kwaheri
Nacho gundua wewe ni mshamba,sikua na sababu ya kukujibu japo hutasema umepata uzoefu gani kwa watu lakini kurupuka upya tena uliza watu wa magari huko mitaani walio isha miliki Brevis kua zina shida gani watakwambia,usikute wewe ni dalali na mlivyo zoea kuwapiga watu mnawapamba kwa kisicho kuwepo,inaonekana hujawahi kutana na kizuri na ukikaa nacho unagundua hakifai unabaki kupigwa na butwaa kua kina ng'aa lakini hakifaiSasa gari haina shida kwenye cooling system inapasuaje radiator? Inaunguzaje gasket naona huo uzoefu wako haujakusaidia kitu au ndo wale mnakaririshwa vitu? Kati ya engine bora kwa toyota ni hizo 1jz, 2jz na 4gr jamaa vipi wewe
Ni kweli mkuu mimi ni mshamba ila sio dalali lakini wewe hauna unachokijua water pump ife, radiator ipasuke na gasket iungue bila kua na tatizo kwenye cooling system..duuh..hata kama hauna elimu hapo umezidiNacho gundua wewe ni mshamba,sikua na sababu ya kukujibu japo hutasema umepata uzoefu gani kwa watu lakini kurupuka upya tena uliza watu wa magari huko mitaani walio isha miliki Brevis kua zina shida gani watakwambia,usikute wewe ni dalali na mlivyo zoea kuwapiga watu mnawapamba kwa kisicho kuwepo
Ni kweli mkuu mimi ni mshamba ila sio dalali lakini wewe hauna unachokijua water pump ife, radiator ipasuke na gasket iungue bila kua na tatizo kwenye cooling system..duuh..hata kama hauna elimu hapo umezidi