Brevis Bei nafuu. WHY?

Brevis Bei nafuu. WHY?

Kila nkijicheki sioni dalili za kumiliki ndinga ila la ajabu nnavyopenda kuvamia Nyuzi za magari [emoji854][emoji854]

Vitendo huanza na mawazo, siyo vibaya kuanza kuwaza na kuota. Vitu vikikaa sawa unatenda kwa ufanisi zaidi, unachukua ndinga ambayo una habari zake tayari. Yani mambo yakikaa sawa utakuwa unafanya maamuzi wasambaa wanaita ‘informed decisions’
 
VX V8 aka Kilimo Kwanza.

Mawazo tunatofautiana mkuu. Zipo SUV zina sura nzuri zaidi ila sidhani hili ni baya, especially hizi facelifted. Tukubaliane tu labda kwamba sometimes beauty is in the eye of the beholder
 
Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua ion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
Shortly tunaweza kusema kwamba brevis zina kisirani
 
Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
Hivi vitu unavtovieleza ni vya kawaida sana kwa chombo cha moto kisicho fanyiwa maintenance...
 
Tumia akili angalia nilichosema,nimesema gari hiyo inaweza kusumbua hata kama bado ni mpya,nilisha kua nayo,jamaa zangu wengi walikimbilia kuinunua,bararani unakutana nayo imeroga na ina muonekano wa upya..sasa kitu gani utanidanganya kuhusu Brevis..hiyo gari kimeo
Hivi vitu unavtovieleza ni vya kawaida sana kwa chombo cha moto kisicho fanyiwa maintenance...
 
Hiyo Castrol Bei kubwa (ukilinganisha na Engine Oil nyingine) imeniulia Engine eti 5,000 kms kumbe unaua engine.
Uliwela filter ya aina gani na ya kiasi gani?
 
Tumia akili angalia nilichosema,nimesema gari hiyo inaweza kusumbua hata kama bado ni mpya,nilisha kua nayo,jamaa zangu wengi walikimbilia kuinunua,bararani unakutana nayo imeroga na ina muonekano wa upya..sasa kitu gani utanidanganya kuhusu Brevis..hiyo gari kimeo

Mi haya matatizo sijawahi kuexperience na ni mmoja wa watu ambao ukiniambia ninunue sedan comfortable ya bei nzuri leo ntaifikiria. Gari ni namba DCS na ilinunuliwa na km zaidi ya laki. Na imepiga mzigo hapa dar on daily basis na safari kadhaa including nyingi za dar-moro na 1 Dar - Arusha nikiendesha mwenyewe.

Kiufupi kama kweli hizi gari zina shida kiasi hiki basi mi ntakuwa nina bahati nayo. Engine haijawahi kuguswa labda umeme kuna kitu ilisumbua ila sikumbuki ni nini na halikuwa issue kubwa. Maintenance nyingine zilikuwa za kawaida kama za gari nyingine.
 
Tumia akili angalia nilichosema,nimesema gari hiyo inaweza kusumbua hata kama bado ni mpya,nilisha kua nayo,jamaa zangu wengi walikimbilia kuinunua,bararani unakutana nayo imeroga na ina muonekano wa upya..sasa kitu gani utanidanganya kuhusu Brevis..hiyo gari kimeo
Sina haja ya kukudanganya maana haiwezi saidia kitu ila katika hali ya kawaida gari kupasua radiator na kuunguza gasket hapo kiashiria ni cooling system ina changamoto either cylinder head au block ime crack au kutoboka kuzungumzia water pump kusumbua hio nayo ni kwenye cooling system ambayo inasababishwa na mambo mengi sasa kama gari haina maintence nzuri lazima hayo mambo yatokee na pia vitu hivyo vinaweza kutokea kwenye gari lolote lile lisilo na matunzo
 
Lako lilikuja OG kabisa haya ya Yard unakuta yanasomo 40000 hadi 60000 ODO
Zina shida gani za kiufundi Brevis kwa sababu mi nimetumia kwa miaka karibia minne na tayari ilikuja na km 110,000 toka Japan sijaona shida yake kubwa. Labda uniambie kwamba ina engine kubwa so na mafuta inakula kwa trip za town
 
Sina haja ya kukudanganya maana haiwezi saidia kitu ila katika hali ya kawaida gari kupasua radiator na kuunguza gasket hapo kiashiria ni cooling system ina changamoto either cylinder head au block ime crack au kutoboka kuzungumzia water pump kusumbua hio nayo ni kwenye cooling system ambayo inasababishwa na mambo mengi sasa kama gari haina maintence nzuri lazima hayo mambo yatokee na pia vitu hivyo vinaweza kutokea kwenye gari lolote lile lisilo na matunzo

Sijui kama uko sawa aisee...au unadhani unaongea na mtu asiye mzoofu?rudi kutazama mada inasemaje,then uliza Brevis zina shida gani hata kwa watu!! Binafsi mimi dereva wa mashirika na mmiliki wa magari kadhaa mala kwa mala toka mwaka 1996 to date..sina sababu ya kusema haho yote lakini uzoefu wangu ni mkubwa nje na unavyo fikiri..

Unaeleza kila kitu hata mimi najua,lakini Brevis hua inazua hayo yote uliyosema na ikiwa haina tatizo lolote,cooling system inaweza kua vzr tu na ghafla gari ikaleta hizo shida..naamini wazi juu ya Brevis wewe huwezi jibu zaidi ya mtengenezaji mwenyewe,maana Brevis imechanganya wengi akili,hapa utakuja na maneno mengi sana ya kweli kabisa kitaalamu lakini Brevis inakugomea hayo yote

Kwaheri
 
Sijui kama uko sawa aisee...au unadhani unaongea na mtu asiye mzoofu?rudi kutazama mada inasemaje,then uliza Brevis zina shida gani hata kwa watu!! Binafsi mimi dereva wa mashirika na mmiliki wa magari kadhaa mala kwa mala to mwaka 1996..sina sababu ya kusema haho yote lakini uzoefu wangu ni mkubwa nje na unavyo fikiri..unaeleza kila kitu hata mimi najua,lakini Brevis hua inazua hayo yote uliyosema na ikiwa haina tatizo lolote,cooling syatem inaweza kua vzr tu na ghafla gari ikaleta hizo shida..naamini wazi juu ya Brevis wewe huwezi jibu zaidi ya mtengenezaji mwenyewe,maana Brevis imechanganya wengi akili,hapa utakuja na maneno mengi sana ya kweli kabisa kitaalamu lakini Brevis inakugomea hayo yote

Kwaheri
Sasa gari haina shida kwenye cooling system inapasuaje radiator? Inaunguzaje gasket naona huo uzoefu wako haujakusaidia kitu au ndo wale mnakaririshwa vitu? Kati ya engine bora kwa toyota ni hizo 1jz, 2jz na 4gr jamaa vipi wewe
 
Nacho gundua wewe ni mshamba,sikua na sababu ya kukujibu japo hutasema umepata uzoefu gani kwa watu lakini kurupuka upya tena uliza watu wa magari huko mitaani walio isha miliki Brevis kua zina shida gani watakwambia,usikute wewe ni dalali na mlivyo zoea kuwapiga watu mnawapamba kwa kisicho kuwepo,inaonekana hujawahi kutana na kizuri na ukikaa nacho unagundua hakifai unabaki kupigwa na butwaa kua kina ng'aa lakini hakifai
 
Nacho gundua wewe ni mshamba,sikua na sababu ya kukujibu japo hutasema umepata uzoefu gani kwa watu lakini kurupuka upya tena uliza watu wa magari huko mitaani walio isha miliki Brevis kua zina shida gani watakwambia,usikute wewe ni dalali na mlivyo zoea kuwapiga watu mnawapamba kwa kisicho kuwepo
Ni kweli mkuu mimi ni mshamba ila sio dalali lakini wewe hauna unachokijua water pump ife, radiator ipasuke na gasket iungue bila kua na tatizo kwenye cooling system..duuh..hata kama hauna elimu hapo umezidi
 
Unaweza kunipa jibu nilielewe kua kwa nini Brevis nyingi mtaani zinauzwa million 5,6 au 4.5 na muuzaji ana kwambia amenunua mwaka mmoja tu ulio pita,na alinunua million 13 au 12.5 then 1 year anauzaa million 5 na ukimtazama na kumfatilia ni mtu wa maisha ya kawaida asiyeweza kununua gari kwa Million 13 na baada ya mwaka mmoja akauza Million 5. Why? Yamkini unaelewa ila unataka kubishana bishana tu kusiko na maana

Back
Top Bottom