Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brevis ndo hamna kitu kabisaNimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.
Zote tajwa ni chuma kamili sema fuel consumption ipo highNimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.
Brother uwe mkweli na mnyoofu kuwa brevis Haina shida yoyote ila tu fuel consumption ipo juu ila matatizo yake ni ya kawaidaBrevis ndo hamna kitu kabisa
Wanaongelea vibaya kivipi? Hebu fafanua. Yangekuwa mabovu yangejaa mtaani? Na watu wananunua miaka na miaka.Nimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.
Nimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.
YaleyaleBrevis ndo hamna kitu kabisa
Brevis za Bongo zina 1JZ-FSE kwa Ai250 na 2JZ-FSE kwa Ai300
Mark X kuna zenye 4GR-FSE na 3GR-FSE
Crown kuna zenye 4GR-FSE, 3GR-FSE na 2GR-FSE
Hizo engine nimekutajia hapo zote ni D4 engines.
Ni engine ambazo hazitaki ubabaishaji kuanzia kwenye Oil mafuta mpaka spares.
Hakuna D4 engine ambayo inaongelewa vizuri Tz.
Tukija upande wa pili hizo gari watu wengi wanalia wese.
Nimeshaandika mara kadhaa humu ndani. Nimekuwa na Brevis ya 250 kwa miaka kama minne hivi, tuchukua showroom ikiwa na km 110,000. Service kwa wakati, sijawahi pata tatizo la engine kugoma. Kuna siku tu ilizingua umeme ikawa fixed. Tukauza 6.5 baada ya 4 years. Zingatia service na na mafuta, utakaa nazo sana. The only downside labda ni fuel ukilinganisha na gari kama premio labda
Wala sipingani na wewe. Wenye good experience na hizo gari wapo wengi hata mimi nimeshakutana nao kadhaa na wengine nmeshawarekebishia matatizo yao.
Ila wenye bad experience wapo wengi zaidi na wengi ni sababu ya ujanja ujanja...
Mimi ndio gari naenda kununua.Ndo ninachosema. Wengi wanaziponda sana lakini kwa kuwa hawazijui. Nikisema hawazijui siyo kwamba hawajawi kumiliki ila hawajui zinataka nini. Wapo wengi tu wana experience mbaya.
Mahondow yupo ? connection basiNgoja waje kukupa muongozo...
Negative minds walizonazo ni kwenye mafuta tu, hizo gari zina Offer a Good Stability, Comfortability and Speed. Hivyo vitatu vyote utavipata ktk Crown, hizo gari zina engine kubwa it's obvious ulaji wake wa mafuta hauwezi kulingana na IST, hizo gari hazitaki mafuta ya elfu kumi kumi. Alaf hii tabia ya kuponda ni kawaida ya wabongo wengiNimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.
Mimi ndio gari naenda kununua.
Tuelimishe hapa mambo ya kuzingatia walau
nachojua mimi ni ulaji wa wese apo karibia zote huwa n V6 cc 2400 kwenda juu( mostly)..Nimeona watu wengi wana negativity na haya magari.
Naomba wataalam mtueleze kama magari haya yana shida ki UFUNDI.
Naona watu wengi wanayasema vibaya japo sijaona hata mmoja akiyaelezea ki UFUNDI zaidi ya kuongelea mafuta.