JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Kijana wa TZ na mshahara wake wa 700k anapata 4m kwenye mikopo au dilidili zake ananunua brevis mkononi hana ela ya kueleweka ya service wala spea halafu anakuja kutoa ushauri wa ubora na ubovu wa gari.Wala sipingani na wewe. Wenye good experience na hizo gari wapo wengi hata mimi nimeshakutana nao kadhaa na wengine nmeshawarekebishia matatizo yao.
Ila wenye bad experience wapo wengi zaidi na wengi ni sababu ya ujanja ujanja...
Nunua Toyota Crown GRS180, engine 4GR. Matumizi ya mafuta sio ya ajabu saaana kama ushawahi kumiliki gari ya cc2000 ingawa hii ni cc2500. Kwa bei zake unapata kitu kizuri.Mimi ndio gari naenda kununua.
Tuelimishe hapa mambo ya kuzingatia walau
SawaNunua Toyota Crown GRS180, engine 4GR. Matumizi ya mafuta sio ya ajabu saaana kama ushawahi kumiliki gari ya cc2000 ingawa hii ni cc2500. Kwa bei zake unapata kitu kizuri.
Tahadhari: Usiendeshe Kwa masifa maanake itakumalizia hela au itakumaliza wewe mwenyewe.