Toyota Brevis namba D , ipo sokoni. Karibu ununue Toyota Brevis bado mpyaa..
kama inainavyoonekana kwenye picha. Bei ni 9million.
Gari ipo Dar es salaam.
Mawasiliano, 0755155782,
mkuu bwana,yaani kwa kuwa,nimekusifia kuwa bei yako ni fair na gari ni nzuri unajifanya ulikosea kuiprice,we uza bei za kishow-room uje kupiga nalo picha hilo gari lako