Mm nataka gar ambayo IPO readily available, siyo kuagizaUkishaamua kati ya hizo mbili, njoo SBT tukuugizie SBT Japan.... Gari hizo utazipata kwa bei nzuri. Ingia hapa chagua gari, nitumie stock ID yake nitakupa bei full...na utaratibu wake.
www.sbtjapan.com
0754734009
Amini kuwa grand inakunywa sana kuliko brevis"Brevis" ndiyo ina 2500cc ila mark II gx 110 ina 2000cc kwahiyo ukitaka kufanya maamuzi endapo lengo ni consumption ya mafuta basi nunua Mark II, ila kama unataka gari ya show off yenye muundo mzuri between hizo mbili nunua Brevis.
Wastani 10km/l which means utatumia wastani wa lita kumi kwa kila kilometa 100! kwa safari ya kilometre 500 ni wastani wa litre 50-55 mpaka kumaliza safari yako.Nashkur kwa maoni yenu wadau, ila naomba anayejua anisaidie, ivi gari ya CC 2500 kama unaebdesha mwendo wa kawaida 80-100 kph masafa marefu ya km 500 (mfano) utasafiri km ngapi kwa Lita? Vile vile msaada kwa gari ya CC 2000
Inatembea sana hio chuma af ikiwa bado ng'ada ndio utaipenda zaidiBinafsi Brevis naikubali sana hasa kwa safari ndefu
Vipi Premio Mkuu?Wastani 10km/l which means utatumia wastani wa lita kumi kwa kila kilometa 100! kwa safari ya kilometre 500 ni wastani wa litre 50-55 mpaka kumaliza safari yako.
Hilo ni kadirio kwa gari nyingi za mjapani in exception of vits,ist,starlet, corolla axio au passo ambazo zina engine ya 1300cc au chini ya hapo. Hivi vinatumia mpaka litre 35 kumaliza safari hio hio.
Yeah ipo vizuri. I prefer brevis kuliko CrownInatembea sana hio chuma af ikiwa bado ng'ada ndio utaipenda zaidi
Premio ya 1490cc ni 12km kwa litre...wastani wa litre 40 kwa 500kms.Vipi Premio Mkuu?
Uko kama mwanangu mmoja, ye hajawahi kuielewa crown kama Brevis. Ameuza crown latest model ile ya 2009 kibongo bongo for Brevis! Anaipenda zaidi Brevis.Yeah ipo vizuri. I prefer brevis kuliko Crown
Crown Ni gari nzuri ila naiamini sana brevis hasa kwa Safari.Uko kama mwanangu mmoja, ye hajawahi kuielewa crown kama Brevis. Ameuza crown latest model ile ya 2009 kibongo bongo for Brevis! Anaipenda zaidi Brevis.
Mnyama brevenga 😀Uko kama mwanangu mmoja, ye hajawahi kuielewa crown kama Brevis. Ameuza crown latest model ile ya 2009 kibongo bongo for Brevis! Anaipenda zaidi Brevis.
Ni kitu gani hasa kinakufanya uiamini mkuu?Crown Ni gari nzuri ila naiamini sana brevis hasa kwa Safari.
Nilishawahi kusafiri nayo mara kadhaa. Ni gari imara, comfortable na pia ina nguvu.Ni kitu gani hasa kinakufanya uiamini mkuu?
Ooh okay. Nimeleewa. Nilifikiri Crown ilishakuletea shida kulinganisha na Brevis.Nilishawahi kusafiri nayo mara kadhaa. Ni gari imara, comfortable na pia ina nguvu.
No crown ni nzuri ila kwa mtazamo wangu naona ipo soft kulinganisha na brevisOoh okay. Nimeleewa. Nilifikiri Crown ilishakuletea shida kulinganisha na Brevis.