Brevis vs mark ii grande gx 110

Brevis vs mark ii grande gx 110

Ukishaamua kati ya hizo mbili, njoo SBT tukuugizie SBT Japan.... Gari hizo utazipata kwa bei nzuri. Ingia hapa chagua gari, nitumie stock ID yake nitakupa bei full...na utaratibu wake.
www.sbtjapan.com
0754734009
Mm nataka gar ambayo IPO readily available, siyo kuagiza
 
"Brevis" ndiyo ina 2500cc ila mark II gx 110 ina 2000cc kwahiyo ukitaka kufanya maamuzi endapo lengo ni consumption ya mafuta basi nunua Mark II, ila kama unataka gari ya show off yenye muundo mzuri between hizo mbili nunua Brevis.
Amini kuwa grand inakunywa sana kuliko brevis
 
Nashkur kwa maoni yenu wadau, ila naomba anayejua anisaidie, ivi gari ya CC 2500 kama unaebdesha mwendo wa kawaida 80-100 kph masafa marefu ya km 500 (mfano) utasafiri km ngapi kwa Lita? Vile vile msaada kwa gari ya CC 2000
Wastani 10km/l which means utatumia wastani wa lita kumi kwa kila kilometa 100! kwa safari ya kilometre 500 ni wastani wa litre 50-55 mpaka kumaliza safari yako.

Hilo ni kadirio kwa gari nyingi za mjapani in exception of vits,ist,starlet, corolla axio au passo ambazo zina engine ya 1300cc au chini ya hapo. Hivi vinatumia mpaka litre 35 kumaliza safari hio hio.
 
Vipi Premio Mkuu?
 
Back
Top Bottom