Bribery and corruption: Athreat to an early Bagamoyo Port

Tatizo si kujenga ila ni ufisadi uliopo katika mradi mzima. Bila ufisadi ni mradi mzuri.
๐Ÿ’ช๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ Point..๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ
 
Tutapona kweli? Huyu Muongo kama bado yupo hai sio ajabu tukashangaa siku akaapishwa kuwa Waziri. Watu hawatosheki na wanakula walewale wasioweza kutupana

Masharti! Kwani lazima wajenge Wachina?
Huyo jamaa akiapishwa tena, basi ujue tumekwisha. Maana sasa anajua alikosea wapi, hivyo hatofanya makosa, atapiga sawasawa.... Umeulizwa swali zuri sana, kwani ni lazima wajenge wachina? Hata Mimi nilikuwa najiuliza hivyo hivyo - Kwani ni lazima wajenge wachina? Maana watu wanawapigia sana chapuo wapewe; wajenge; waimiliki. Mbona hata SGR ilikuwa wajenge wao; lakini JPM alivyoingia na kuona kuna harufu ya rushwa na ufisadi, akawapiga chini, na mchakato ukaanza upya, na akapatikana mturuki. Gharama zikapungua na kazi inaendelea mpaka leo, kwa ubora kabisa. Sasa kwa nini watu wanawapigia kampeni Wachina? Nadhani hili swali tuliongezee sauti - ili Speaker na wenzake walisikie. Maana Bandari inaweza kujengwa, ila kwa kutafuta mbia mwingine yeyote yule ambae atakuja na masharti nafuu. Maana hawakuwahi hata kutangaza hata "Expression of Interest" kwa ajili ya kujenga hiyo Bandari, ili wabia wengine wajitokeze. Mchina ametokea tu from no where.
 
Hakuna mtanzania hata wale wa la saba anayekataa umuhimu wa bandari na ungetusaidia sana badala ya kuja na faida ukaweka hayo yanaitwa mashart ili tuyaone wazi. Tusaidie hayo masharti 20 ya wachina tuyaone.
Watu walishauliza sana kuhusu hayo masharti, wakubwa wamekaa nayo kimya. Wanajaribu tu kuelezea mradi ujengwe, kwa masharti gani? Hapo wako kimya.....
 
Pile F usidhani sie wote ni wajinga kama wewe. Kuuliza Tanzania ina nn cha wachina kuiibia ni kuitukana sana nchi yetu na kwingineko ulitakiwa kupelekwa exil 10yrs ili ukajifunze. Pia unaonesha huifahamu jiografia ya Tz vizuri licha ya kwamba unaweza kuandika na kusoma
 
Habari gani Wakuu ninaamini mpo vyema kabisa. Naomba Moja kwa moja niende kwenye mada

Tanzania ni Taifa lenye bahati kubwa. Wazo la bandari ya Bagamoyo ni la kipekee na Mataifa Mengi yangeona yapo nyuma mno kama nchi ya Tanzania ingekuwa na hii bandari leo.

Mradi huu umeachwa na kuchelewa kwa sababu kuu ya hofu ya Utitiri wa Viongozi wapenda rushwa, wenye uadilifu mdogo na siasa za kusifiana, kuficha taaluma zao, maovu na kutii makubaliano legevu katika Taifa letu.

Bandari hii ingekuwepo katika Taifa letu tusingekuwa tunapambana na mambo Madogo na ya kionevu kama kuwaondoa Machinga Mtaani maana wangekuwa wameajiriwa au kujiajiri katika njia au maeneo mengine Mengi. Na inawezekana kuwa wasingekuwepo vilevile katikati ya miji ambako ndipo Wateja wao wengi na wakubwa walipo.

Kwa mfano;
Biashara zinazolazimika kufanyika Bandari ya LOBITO kule Angola kutoka katikati na kusini mwa Afrika-Congo DRC, Congo Brazzaville, CAR, Zambia, Zimbabwe, Botswana, Malawi na kwingine zingemwacha Mtanzania akizalisha pesa za kigeni kupitia kuuza huduma na bidhaa kwa pesa nzuri na kupunguza makali ya Umaskini.

Kukua kwa sekta ya Utalii, Usafirishaji, Biashara za Supermarket na Hoteli kwa hadhi ya kimataifa. Pia kupitia uwepo wa Jamii ya kimataifa kutachangia sana kukua kwa Teknolojia na Uwekezaji katika Elimu, Viwanda, Kilimo na Masoko, Mawasiliano, Miundombinu na Mengi mazuri.

Wazawa watafanya Biashara za kisasa na Umaskini utapungua kwa kasi kupitia Ulimwengu unaotaka mazingira ya kufanyia biashara kwa gharama ya Dola nyingi na wakati mwingine kwa gharama ya pesa ya kiwango chochote.

Taifa litajitangaza bila nguvu kubwa kama ilivyo kwa UAE na mji wao maarufu wa Dubai pia Brazil zinazopata pesa nyingi kupitia Wageni wa kibiashara nchini.

Hili linawezekana kwa kuwa tuna mwambao mrefu wa bahari na wenye hazina kubwa ya Mali bahari pia visiwa salama kwa mazingira ya uzalishaji wa kisasa.

Tanzania itachapuka haraka na kuanza kuimarisha zaidi ulinzi pekee pamoja na Matumizi Bora ya Mazingira huku raia wake wote wakipata nafuu kubwa ya maisha kupitia kukua kwa Miji, AJIRA nyingi na Uchumi Imara wa Nchi.

NIONAVYO MIMI;
Ni fikra duni kuona kuwa TUTAIBIWA kama bandari ITAJENGWA.

Ni vipi uonavyo wewe kuhusu hii Bandari katika Pwani ya Tanzania kule Bagamoyo?

Sio kweli tatizo la Tanzania sio bandari! . Pili china inaleta itajenga matafanya sehemu ya kuleta vitu vyao ambayo vinaweza kutengenezwa Tanzania. Tutakuwa dump. Tatu watarudisha vipi pesa ya ujenzi? Yaani mnafikiri wanajenga bure? Jiulize bandari nyingine ambazo hatuna madeni zitapata mizogo yeyote hasa ya kutokea china๐Ÿค”. Hakuna kitu cha bure . Hizo $10B kama ni ajira kuna viwanda, kilimo, uvuvi , mifugo na madini . Tujue tu bandari ya mafuta Tanga inajengwa sasa kwanini wasikuze hiyo na tunajua kipato kitakuwepo na sio madeni. Huu ni mradi wa wakina Kikwete hapana jipya hapa
 
Mradi ni wawekezaji sasa wakipeana rushwa hapo kuna hasara gani kwa serikali?
 
Pile F usidhani sie wote ni wajinga kama wewe. Kuuliza Tanzania ina nn cha wachina kuiibia ni kuitukana sana nchi yetu na kwingineko ulitakiwa kupelekwa exil 10yrs ili ukajifunze. Pia unaonesha huifahamu jiografia ya Tz vizuri licha ya kwamba unaweza kuandika na kusoma
Doesn't a Country you/we claim and like have signatories and laws against corruption which is a major achievement in Tanzania?

Ni kweli some still have some ways to go in implementing them lakini sio Tanzania hasa unayoitaja labda tukiwa na mawazo mafupi kama unavyodhani.

In the fight against corruption, developed countries nowadays lead by example even China.

Kumbuka all large projects have Justifications.

These countries arenโ€™t just aid donors. They are also โ€œdonorsโ€ of good practice.
 
Yeye akiwa kama nani kuhusiana na huo mradi?
Kwanza uelewe alipo post Ridhiwani juu ya mkutano wake wa mtandaoni huko China hauna uhusiano wowote na mradi wa bandari ya Bagamoyo, jibu langu kuwa "muwe mnaelewa..." nilikuwa namjibu mchangiaji mmoja aliyehusanisha huo mkutano na hii project! kwa hivyo mimi sijui kama huyo Ridhiwani Kikwete anahusika na huo mradi au laa....nilichoelewa kwenye post yake ni kuwa amealikwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa unaofanyika China, nae atahudhuria virtually!
 
NIONAVYO MIMI;
Ni fikra duni kuona kuwa TUTAIBIWA kama bandari ITAJENGWA.

Ni vipi uonavyo wewe kuhusu hii Bandari katika Pwani ya Tanzania kule Bagamoyo?
Umechanganya sana mkuu, na nadhani umechanganyikiwa katika kuiwasilisha mada yako.

"Bribery and corruption a threat to an early Bagamoyo port"

Hicho ndicho kichwa cha mada ulichoamua kukitumia kujenga hoja za mada yako, lakini humo ndani yake ni mambo mbalimbali unayoyaelezea, mengine hata hayahusiani kabisa.

Umeweka "kiambatanisho" hapo kuunga mkono uliyonuia kuyaandika. Kwa maoni yangu, ingetosha kabisa kuandika mistari miwili tu juu ya Bagamoyo, na kuacha watu wajisomee hicho kiambatanisho ingekuwa bora zaidi.

Umesema: "UONAVYO WEWE - Kwamba ni fikra duni kuona TUTAIBIWA kama bandari ITAJENGWA" Ni nani mwenye fikra hizo? Huwezi kutofautisha kati ya "ujenzi" na "kuibiwa"? Kwani ni lazima kwa yeyote atakayejenga lazima aibe?

Ngoja nikasome hicho kiambatanisho.
 
Sio kweli tatizo la Tanzania sio bandari! . Pili china inaleta itajenga matafanya sehemu ya kuleta vitu vyao ambayo vinaweza kutengenezwa Tanzania. Tutakuwa dump. Tatu watarudisha vipi pesa ya ujenzi? Yaani mnafikiri wanajenga bure? Jiulize bandari nyingine ambazo hatuna madeni zitapata mizogo yeyote hasa ya kutokea china๐Ÿค”. Hakuna kitu cha bure . Hizo $10B kama ni ajira kuna viwanda, kilimo, uvuvi , mifugo na madini . Tujue tu bandari ya mafuta Tanga inajengwa sasa kwanini wasikuze hiyo na tunajua kipato kitakuwepo na sio madeni. Huu ni mradi wa wakina Kikwete hapana jipya hapa
Mkuu, yeye na yeye hamtofautiani. Nyote mmechanganyikiwa hamjui mnachoandika hapa.

Bandari ya Bagamoyo itajengwa. Mombasa na Lamu zitasalimu amri kwake.

Jambo pekee lililo muhimu hapa ni "UPIGAJI WA MAFISADI" ambao ndio tunaukataa katika ujenzi wa bandari hiyo.
 
Umechanganya sana mkuu, na nadhani umechanganyikiwa katika kuiwasilisha mada yako.

"Bribery and corruption a threat to an early Bagamoyo port"

Hicho ndicho kichwa cha mada ulichoamua kukitumia kujenga hoja za mada yako, lakini humo ndani yake ni mambo mbalimbali unayoyaelezea, mengine hata hayahusiani kabisa.

Umeweka "kiambatanisho" hapo kuunga mkono uliyonuia kuyaandika. Kwa maoni yangu, ingetosha kabisa kuandika mistari miwili tu juu ya Bagamoyo, na kuacha watu wajisomee hicho kiambatanisho ingekuwa bora zaidi.

Umesema: "UONAVYO WEWE - Kwamba ni fikra duni kuona TUTAIBIWA kama bandari ITAJENGWA" Ni nani mwenye fikra hizo? Huwezi kutofautisha kati ya "ujenzi" na "kuibiwa"? Kwani ni lazima kwa yeyote atakayejenga lazima aibe?

Ngoja nikasome hicho kiambatanisho.
Mkuu Kalamu1 shukurani,
Mkuu unaonekana hujafahamu kuwa watu wanaoshindia mlo mmoja wanazidi kupindukia.

Nguvu kazi inaoza tu vijana wanapomaliza shule. Wengi wanazeeka wakiwa hawajazitumia nguvu zao katika kazi zenye thamani kwa sababu mazingira ya kuridhika na vidogo ndio yaliyopo.

Kama una begi zuri hata vitabu vyako vitakuwa na mwonekano mzuri na havitakuwa na alama za Uchafu. Hii ndo maana yake kuwa nchi inatakiwa kuboresha maisha ya watu kwa kuwekeza vyema katika Uchumi jumuishi kama huu wa Bandari ili mambo na kazi zetu zipande Thamani.

Viongozi wetu wanafurahi kuona Wimbi la Madereva wa bodaboda na Mama Ntilie wakipambania Uhai na kudhani ni kazi zinazoweza kumkwamua Mtanzania anaetegemewa wakati wengi wanaamka mifuko mitupu pesa wanayopata inaishia kuwa ya Chakula.

Kuna Ongezeko kubwa sana la wazee Maskini wajao. Kama mambo yakiwa sawa hata wakazi wa kule NANJILINJI watapeleka watoto wao St. Mary's au mwenye St Mary's atakuwa na shule nyingi sana karibu kila mahali.

Bribery ni pale tunapokuwa na watu wasio Makini na Wawazi.

Corruption hapa ni pale ambapo hata wezi wanaonekana wanafaa kutumiwa kwenye mambo ya Msingi kama Bandari ya Bagamoyo.
 
Kwanza uelewe alipo post Ridhiwani juu ya mkutano wake wa mtandaoni huko China hauna uhusiano wowote na mradi wa bandari ya Bagamoyo, jibu langu kuwa "muwe mnaelewa..." nilikuwa namjibu mchangiaji mmoja aliyehusanisha huo mkutano na hii project! kwa hivyo mimi sijui kama huyo Ridhiwani Kikwete anahusika na huo mradi au laa....nilichoelewa kwenye post yake ni kuwa amealikwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa unaofanyika China, nae atahudhuria virtually!
Well noted. Kama anahudhuria mkutano wa Chama cha siasa, aendelee tu na makada wenzake.
 
Mkuu Kalamu1 shukurani,
Mkuu unaonekana hujafahamu kuwa watu wanaoshindia mlo mmoja wanazidi kupindukia.

Nguvu kazi inaoza tu vijana wanapomaliza shule. Wengi wanazeeka wakiwa hawajazitumia nguvu zao katika kazi zenye thamani kwa sababu mazingira ya kuridhika na vidogo ndio yaliyopo.

Kama una begi zuri hata vitabu vyako vitakuwa na mwonekano mzuri na havitakuwa na alama za Uchafu. Hii ndo maana yake kuwa nchi inatakiwa kuboresha maisha ya watu kwa kuwekeza vyema katika Uchumi jumuishi kama huu wa Bandari ili mambo na kazi zetu zipande Thamani.

Viongozi wetu wanafurahi kuona Wimbi la Madereva wa bodaboda na Mama Ntilie wakipambania Uhai na kudhani ni kazi zinazoweza kumkwamua Mtanzania anaetegemewa wakati wengi wanaamka mifuko mitupu pesa wanayopata inaishia kuwa ya Chakula.

Kuna Ongezeko kubwa sana la wazee Maskini wajao. Kama mambo yakiwa sawa hata wakazi wa kule NANJILINJI watapeleka watoto wao St. Mary's au mwenye St Mary's atakuwa na shule nyingi sana karibu kila mahali.

Bribery ni pale tunapokuwa na watu wasio Makini na Wawazi.

Corruption hapa ni pale ambapo hata wezi wanaonekana wanafaa kutumiwa kwenye mambo ya Msingi kama Bandari ya Bagamoyo.
Niseme ukweli wangu.
Mimi sioni ninapopingana na maono yako, isipokuwa tu labda katika uwasilishaji tu wa maoni yako.

Kama nakuelewa, na kama nakosea naomba unifahamishe:
Wewe, kama nilivyo mimi ningependa sana Bandari ya Bagamoyo ijengwe, tena kwa haraka iwezekanavyo, kwa sababu bandari hiyo ni yenye manufaa makubwa kwa nchi yetu.

Pili, bila shaka ungependa mradi huo wa bandari ujengwe bila kuwepo kwa mizengwe ya baadhi ya watu kutafuta kujinufaisha binafsi kutokana na mradi huo, huku kama nchi tukiingia gharama kubwa juu ya mradi huo, gharama inayotokana na upigaji wa hao walafi, ndugu zetu.

Mimi sioni popote ninapopingana na wewe kuhusu manufaa ya ajira kwa watu wetu katika mradi huo. Lakini pengine tunapoweza kupishana kimawazo ni hapo penye gharama za mradi huo.
Je, tukubali tu bandari ijengwe kwa gharama yoyote ile (ikiwemo kutokana na upigaji wa ndugu zetu wanaotafuta kujinufaisha), eti kwa vile watu wetu watapata ajira?
Kwani hatuwezi kupata ajira bandari ikijengwa bila mizengwe ya aina hiyo inayosemwa kuwepo?
 
Back
Top Bottom