BRICS pigo kwa Marekani. Kamala Harris atembelea Afrika kimkakati

BRICS pigo kwa Marekani. Kamala Harris atembelea Afrika kimkakati

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani.
Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga.

Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya Dedollarisation kufanikiwa. Na huu ni mwanzo wa mwisho wa Petrodollar system. Sasa kinachofuata ni Gold dominance.

Ujio wa makamu wa Rais wa Marekani ni Mkakati wa kuzuwia au kudumaza kasi ya nchi za Afrika kujiunga na BRICS.

South Africa tayari wamejiunga.

Tanzania, Ghana na Zambia zina ushawishi wa kikanda katika maamuzi ya mambo magumu.

Japo haiwekwi wazi ni kwamba hii ziara inalenga kuongeza ushawishi Kwa nchi za Africa kutojiiunga na BRICS.
 
Atakuwa amekuja kutaka majibu ya kwanini Tanzania tumekuwa neutral ktk upigaji wa kura ktk mgogoro wa Ukraine na Urusi.
 
Back
Top Bottom