BRICS VS G7

BRICS VS G7

IRAN to join BRICS
ARGENTINA to join BRICS

TUTAJUA NGUVU YA UKWELI YA BRICS SOON
 
Mbona hatuoni huo mwanzo. Wajomba wanaxidi kupaa. Au tujipe moyo maana hakuna dalili za kuporomoka Kwa hilo kundi

nadhan unajua kidogo sana kuhusu dunia na geopolitics’ !! umezaliwa juzi now uma miak 29
 
Hivi unajua dollar inamilikiwa na USA lakini USA anadaiwa trillions of dollar? Ukijua ni kwanini atengeneze dollar halafu akope dollar ndio utajua ukweli, pole mtoa post, hapa sihitaji mlolongo was mahesabu nataka akili ya chekechea itumike.
Mnatuchanganya
 
Back
Top Bottom