Duuuh.Si mchezo hiii [emoji3][emoji3]Dar miaka ya mwishoni mwa tisini iliingia fasheni ya wadada kubeba midoli......unakuta mdada kabeba bonge la doli anasubiri dala stendi......sijui iliishia wap hii fashen!
Aisee kama upo na Mimi Baba yangu(Marehemu ) alikuwa hasafiri bila hiyo kitu hata kama atabeba begi jingine.Dah! Umenikumbusha baba yangu enzi hizoo... RIP
Zamani ndo ilikuwa document zote files na folderHuku kwetu waganga ndio wanazitumia sana [emoji23]
Hahaha ndio sisi tulikuwa tunaenda kuichungulia kama ipo, au ukimuona anaanza kuitanguliza ujue hapa kuna safari wazee maboss wa enzi hizo hapa nazungumzia 80's. Hata sijui alikuwa anaweka nini labda documents maana laptop hazikuwepo😁Aisee kama upo na Mimi Baba yangu(Marehemu ) alikuwa hasafiri bila hiyo kitu hata kama atabeba begi jingine.
Na tulikuwa ukitaka kujua kama amesafiri tunaitafuta Briefcase, tukiikosa tunakuwa tayari tuna uhakika amesafiri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1465235View attachment 1465236
Briefcase zilibeba analogy na sasa laptop zinabeba digital.Hello wakuu,
Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu wanaume walikuwa wanabeba briefcase. Kwa wasiozijua naomba mzingatie picha. Wanaume walikuwa wanaenda na kurudi nazo kazini.
Najua hata sasa mabegi yanabebwa ila kwa siku hizi "laptops" zimekuwa common hivyo wengi wanabeba laptops kwenye backpacks zao au mabegi ya laptop ya mkononi.
Sasa briefcase walikuwa wanaweka nini kilichokuwa lazima kutembea nacho? Au ilikuwa urembo tu na kuna mambo ya kwenye movie?
View attachment 1461019
View attachment 1461022
Itakua mlikua watundu sana! Mkithibitisha kasafiri mnaanza umafia wenuAisee kama upo na Mimi Baba yangu(Marehemu ) alikuwa hasafiri bila hiyo kitu hata kama atabeba begi jingine.
Na tulikuwa ukitaka kujua kama amesafiri tunaitafuta Briefcase, tukiikosa tunakuwa tayari tuna uhakika amesafiri.