Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa kufariki aonekana hadharani akiwa kwenye bodaboda

Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa kufariki aonekana hadharani akiwa kwenye bodaboda

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa na Wateule kuwa wamemuuwa kwenye shambulio la Mwezi Machi aonekana hadharani kwenye Maandamano akiwa kwenye Bodaboda Juzi usiku akihakikisha mambo yapo sawa
licha ya hivyo chapisho hilo linadai kuwa kiongozi huyo alishambuliwa na kuuwa na mashambulizi ya marekani pamoja na isarel.

670352101_18314413456259234_7150511325623290797_n (1).jpg
 
kwamimi naona hakuna ukweli,ingekuwa iran inataka kuwahadaa israel basi isingemuonesha hadharani kabisa ,ukizingatia ni kiongozi mkubwa iran

pia picha ingekuwa viral mitandao ya kimataifa nnje ya facebook ambapo ndio imesambaa
 
Back
Top Bottom