Mimi pia siyo mjuvi nipo hapq jamvini kuleta habari zinazojiri Gaza maana wadau hawawezi kuzipata CNN, BBC, Fox News.Heshima kwako kaka yangu Ritz nakukubali sana. Nje ya mada bro naomba kukuuliza kwasababu wewe ni mjuvi wa kila kitu. Je mkuu ukiondoa kutapika je unaweza kuitoa nyongo kwa kunya?
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
Nyau de adriz
Yesu alikuwa ni undercover gay(shoga wa sirini) na bwana ake aliyekuwa anamkaza alikuwa ni askari wa kirumi aitwaye de angelo ndio maana hajawahi kuoa kwasababu alikuwa hadindishi.
Kobaaz maamaeeYesu alikuwa ni undercover gay(shoga wa sirini) na bwana ake aliyekuwa anamkaza alikuwa ni askari wa kirumi aitwaye de angelo ndio maana hajawahi kuoa kwasababu alikuwa hadindishi.
Kuna mapunguani yanasema Israel taifa la mungu.
Mateso ya Israel : Madhara ya mateso ya kikatili kwa mfungwa aliyekombolewa Mohamed Abu Tawil, ambaye alikamatwa na wanajeshi mwaka mmoja uliopita huko Gaza, ambapo uso na mwili wake ulichomwa kwa kemikali, hali iliyomfanya apoteze uwezo wa kuona katika jicho lake la kushoto na kumsababishia madhara makubwa kimwili na kisaikolojia.
View: https://x.com/me_observer_/status/1894846072020967848?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wawapokeee tu wakumbukr wakishamaliza woteeWanakumbi.
⚡️Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida:
Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu:
1- Itzahi Idan
2- Itzik Al-Jar yake
3- Ohad Yahalomi
4- Shlomo Mansour
:
Wafungwa 590 hadi 594 kutoka Ukanda wa Gaza wanatarajiwa kuachiliwa leo usiku, na maandalizi ya kuwapokea yanaendelea.
=================
⚡️Al-Qassam Brigades Spokesperson, Abu Obaida:
As part of the Al-Aqsa Floods agreement for the exchange of prisoners, the Al-Qassam Brigades decided to hand over the bodies of the following Zionist hostages tonight:
1- Itzahi Idan
2- Its Itzik Al-Jar
3- Ohad Yahalomi
4- Shlomo Mansour
View: https://x.com/suppressednws/status/1894779649827189212?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ustaadh kunyetiii upo⚡️BREAKING:
Mabasi 12 yaliyokuwa yamewabeba wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa yamewasili katika Ukanda wa Gaza, huku wengi wao wakitolewa katika Hospitali ya Ulaya. Wote walitekwa nyara kutoka Gaza na kushikiliwa bila kufunguliwa mashtaka. Baadhi walihitaji kulazwa hospitalini kutokana na hali ya kiafya iliyosababishwa na kuteswa na kutelekezwa katika magereza ya Israel.
Mmoja wa wafungwa walioachiliwa huru ni Dk. Mohammad Zahir, ambaye alikamatwa na Israel alipokuwa akifanya kazi katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, alisema: "Tumerudi kuijenga upya"
View: https://x.com/suppressednws/status/1894954741295403472?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw