Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

Israel inawaachia 200 inauwa 199, sioni faida ya hawa mateka kuachiwa. Na huwa wanafaida gani, au ndio kupata muda wa kupumua baada ya m1nyukano ya muda mrefu?
 
Vip mbona hamas hawajafanya tena shareholders ya kukabidhi maiti kama walivyozoea
Walokole mmekwama na Aibu !!! ya kata taifa kateule kenu!!!!! Kwasasa Ulimwengu umeshtuka !!!!

kina NETANYAHU Wanatafutwa na ICC ¿¿¿ kwenye michezo nako kina pewa RED CARD Shinikizo kwa FIFA kikifukuze kwenye Michezo!!!!

Ulaya imechangamka kwasasa Zayuni kayatimba kuuwa vitoto!!!! Bado nyinyi Walokole mkipige kata funua!!! Lkn Kimataifa kishatepeta Vibaya!! Damu za Watoto mbayaa sana.!!
 
Israel inawaachia 200 inauwa 199, sioni faida ya hawa mateka kuachiwa. Na huwa wanafaida gani, au ndio kupata muda wa kupumua baada ya m1nyukano ya muda mrefu?
Uko inapo Wazuiwa pia inawauwa!! Bola Wakafie mikononi kwa ndugu zao kuliko uko Kwa mizayuni Magaidi sio watu Wale Wanatesa Adi MAITI.
 
Israel inawaachia 200 inauwa 199, sioni faida ya hawa mateka kuachiwa. Na huwa wanafaida gani, au ndio kupata muda wa kupumua baada ya m1nyukano ya muda mrefu?
Unaripoti kutoka Tunduru, 😄
 
Shida wewe Shabiki Andazi BIN kitumbua cha kula leo!!!! Kama ata Ujui Uwongo wa Zayuni kupitia MEDIA zao labda akujibu T ARMATA

ndio utamuelewa kuusu zayuni!!! Akipata muda Atakujibu namna Wanatumia Vibaya Media zao kiasi Weusi wenzetu Wameuwawa wakiwa awana Hatia yoyote,,, Seem mbali mbali ya Dunia hiii.
 
Mateka aliyeachiliwa huru kutoka Gaza alifichua kuwa mfungwa wa Kipalestina Mosab Haniyeh mwenye umri wa miaka 35, aliyetekwa nyara na wanajeshi wa Israel wakati wa uvamizi wa Machi 2024 katika Mji wa Hamad, alikufa akiwa kizuizini Israel baada ya kuteswa kikatili [Ubakaji]. Kulingana na shuhuda, fimbo ililazimishwa kupitia tumbo lake hadi ikatoka upande wa pili.

Licha ya majeraha yake makali, alinyimwa matibabu. Waisraeli walidai kwa uwongo kwamba alikufa kwa saratani, lakini ripoti zinaonyesha aliuawa shahidi mnamo Januari 5, 2025.



View: https://x.com/suppressednws/status/1895249577516880151?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Astaghfillullah
Yesu alikuwa ni undercover gay(shoga wa sirini) na bwana ake aliyekuwa anamkaza alikuwa ni askari wa kirumi aitwaye de angelo ndio maana hajawahi kuoa kwasababu alikuwa hadindishi.
 
Hii ndiyo shida ya Copy & Paste nilishakubia wewe unatumika tu na wapiga Propaganda dhidi ya Israel hiyo taarifa hujaeleza nini kimesababisha hayo hata wewe unajua ila tu umeamua kujitoa ufahamu!! Jumamosi Waxiri mkuu wa Israel alisitisha zoezi la kuwaachia Wabakaji,Wezi,Wauaji na Magaidi kutoka kwenye magereza kupinga Udhalilishwaji kwa mateka waliokuwa wanaachiwa kwa kulazimishwa kutanasamu na kuwapungia mkono magaidi waliopo kwenye huo uwanja. Pia amezuia magaidi hao kuendelea kuwafanya mateka kuwa sehemu ya wao kupiga Propaganda uchwara kwa walimwengu. Baada ya Netanyahu kuwapiga mkwara huo ndipo sasa wakaamua kuzirejesha maiti hizo usikuusiku kuhofia kuchekwa na wafuasi wao. Hayo wapiga Propaganda hawakukueleza na hawawezi kukuelezea Mkwara wa Netanyahu.
 
Hii ndiyo taabu ya Copy & Paste hapo Hujasema alifungwa kwa kosa gani. Kijana huyo aliua watu wawili
Umenikumbusha Gazeti la Mzalendo lilivyokuwa kubwa na left enzi hizo za Mwalimu. Umeanza na Taqiyya yenu na umemaliza nayo uongo jadi yenu hata hujazungumzia mauaji ya watu 1,200 na kuteka nyara watu 521 hayo hukuyaongeleq kabisa hujazungumzia mlivyowaua watoto wa Bibas Ariel na Kfri na Mama yao simply tu alikataa kubakwa na magaidi hao hivyo wakaamua kumuua yeye na watoto wa wake wawili kisha kujikosha kumwachia mme wake na kumdhalilisha kwa kumwambia atabasamu na kuwapungia mkono magaidi. Hujaongelea Mkwara wa Benjamin Netanyahu kuhusu udhalilishwaji huo wa mateka kwa kusema wakome kuwaweka mateka kwenye majukwaa kutaka umaarufu wa kipumbavu hayo hujasema matokeo yake Hamas wameachia mateka usiku kuhofia kuchekwa na wafuasi wao. Netanyahu alishasema ni marufuku kuweka watu majukwaani kutaka sifa. Najua Hamas wamesikia na hawatarudia ujunga huo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…