Haya mambo hutokea. Watapona tu na kurudi kuendeleza vipigo kwa vikongwe. Chelkenge tunamuua vizuri tu.Injuries 11 siyo mchezo, bado kuna red card ya Dunk (EPL). Chelsea, away itakuwa mechi ngumu sana.
Alikuwa Chelsea huyu ehhh?[emoji38] msaliti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu Uzi wetu umekuwa na Amani kuliko wa Rent Boys pale Daraja la Mabua