Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

Seagulls leo tupo Emirates!
GBfocG3XcAAqPbw.jpeg
 
Poleni Seagulls kwa Arsenal ila pia hongereni kwa Europa qualification.
Leo lunch break nimeamua kumcheki Roberto De Zerbi enzi akiwa mchezaji. Sijawahi kufuatilia sana Serie A ila naona japo kuwa alianzia AC Milan, hakucheza first team bali alienda sana kwa mkopo Serie B.

Napoli tu ndiyo timu nimeona naijua na kuzoea kuiona Champions league na alifunga magoli 3 katika mechi 33. Kwa ujumla kama professional alicheza mechi 259 na kufunga magoli 53. Kama mchezaji tunaweza kusema hakuwa top drawer.

Ila sasa kwenye managing, jamaa amefanya makubwa kinoma, sana sana kwenye timu ndogo, ambazo nadhani ndizo alizokuwa anapata nafasi kufundisha. Pep anasema jamaa ni mmoja wa walimu bora wa mpira kwa miaka 20 iliyopita. Watu wanasema jamaa ndiye kocha bora ajae. Akipata timu kama Madrid, PSG Man United, zenye fedha je atakuwaje?

Ninachokifurahia kwa jamaa naona ni story nzuri ya mafinikio. Ni kama ameanza kufanikiwa baada ya kucheza (kachelewa kufanikiwa/hakufanikiwa kama mchezaji) ila ameanza kufanikiwa mapema sana kama mwalimu, jamaa ana miaka 44 tu.

Kwa sasa tumuombee tu mema aendelee kuwa bora na apate timu kubwa zaidi ili career yake ije kung'aa kama kina Pep. Ila aistusumbue tu sisi Arsenal wakati tunajichotea mataji.
 
Tunabisha hodi. Tunamtaka Anfield
 
Elijah Anuoluwapo Oluwaferanmi Oluwatomi Oluwalana Ayomikulehin Adebayo
 
Back
Top Bottom