Brighton & Hove Albion F.C. (The Seagulls) | Special Thread

Aseee mna mechi zote fainali😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240425-002554.png
    158.6 KB · Views: 3
Wow! Very nice lkn naona kama katoka tumu kubwa ile sweden na albion ni wadogo..
Nitakuwa sahihi?
Häcken (W) kwenye UEFA rankings wapo #12 na wanafanya vizuri domestically, wanapata mpaka nafasi ya kushiriki Champions League ila ligi yao siyo bora ukilinganisha na Barclays Women's Super League. Mfano: Man United (W) kwenye UEFA rankings wapo #32 na hawajawahi kufika group stage, mara ya mwisho walifungwa na PSG ila bado wana timu nzuri kushinda Häcken (W). Hivyo, japokuwa Brighton (W) hawafanyi vizuri kwenye ligi ila WSL ina ushindani zaidi na imeanza kupata watazamaji wengi baada ya vilabu vingi kufanya uwekezaji ili ku-challenge vilabu vya Spain, Germany na France kwenye Champions League. Kwa marketing WSL itamfaa zaidi akifanya vizuri anaweza kupata timu nzuri zaidi.
 
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…