Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

Picha za msiba wake zipo wapi, cheti cha kifo kiko wapi. Basi tuone kaburi lake.
Nami nina maswali kama yako

Kwanza alikufa wiki iliyopita na kuzikwa jumamosi hii ya juzi

Pili, nimefatilia sana habari hii na kugundua ni gazeti moja tu, wenyewe wanasema local news paper (H-METRO) la huko africa kusini ndo limeripoti, kwa hiyo kila website, blog sijui insta, fb wamerefer hilo gazeti kama chanzo chao cha habari

Tatu, gazeti lenyewe halina picha hata moja inayohusiana na kifo hicho kipya

Nne, hakuna chombo kingine chochote kikubwa cha habari SA ambacho kimeripoti hili ukizingatia SABC walifatilia habari ya ufufuo wake kwa kina sana

Kwa hiyo inaweza kuwa kweli lakini habari iliyopatikana haijitoshelezi
Pengine wanandugu walitaka kufanya habari hii siri huenda mwenzao mmoja kawasaliti ndo maana hamna uthibitisho wowote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo zinatatiza.
 
Kwahiyo jamaa amevunja rekodi ya kufa mara mbili...hatari sana!
 
Kwani huyu mchungaji c tuliambiwa jina lake MBORO au siye
 
Nahisi watu hawakumpa attention sanah, baada ya kugundua jamaa na Mtume wake Lukau ile inshu ya ufufuo walighushi.
Iko namna hapa

Ivi kweli mtu maarufu kama yule ambaye dunia nzima ilimjadili ni wa kufa wiki iliyopita na utandawazi wote huu wa leo halafu habari ziibuke leo jumatatu?

Kuna vitu vimejificha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari nimeiona sehemu kadhaa Ila sources zake zinatia mashaka.
Mara Swahili media mara Mugabe quotes
 
Hahahahahaaaa hatimaye kafa kweli....kaburi kamwe halilali wazi
 
Vyanzo kama vipi. Sababu nimeitoa swahili times (wapo verified twitter).

Na kuna mdau kaweka link hapo juu. Hebu nipe vyanzo unavyoona ni vya kuaminika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari ilikuwa hot ilipotokea kumbuka hata mwajiri aliyemwajiri huyu Mr.Elliot Moyo alielezea kuwa huyu jamaa ni actor mzuri na mchungaji huyu alimlipa (moyo) ili afanye maigizo yale,mwajiri huyu wa biashara za mbao Mr.Vincent Amoretti amethibitisha huyu jamaa bado angali hai,na vyanzo vyote vya habari hii kama malawi24;iHarare.com;zwNews.com;vyote hivi bona fides za websites zao its difficult to establish;vyanzo vya uhakika ni pamoja na mashirika ya habari ya kimataifa including enca,sabc,news 24,iol,etc etc ni vema unapopata hit news kama hii ukafanya utafiti wa kujiridhia kabla hujatuma hapa,unless utaituma kwenye majukwaa ya udaku.
 
Tatizo hizi habaru za kuwa ni kweli amefariki, hakuna ambae amezipinga.

Labda na wewe utuambie hicho chanzo chako kinachodai yupo hai.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vitatu
1.Ameuwawa maana yeye ni shahidi muhimu sana katika ile skendo...

2.Amekufa kawaida

3.Hajafa ila wanafanya hivyo kuzima skendo nzima na kufanya wanahabari kutofuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…