glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,401
Nami nina maswali kama yakoPicha za msiba wake zipo wapi, cheti cha kifo kiko wapi. Basi tuone kaburi lake.
Kwanza alikufa wiki iliyopita na kuzikwa jumamosi hii ya juzi
Pili, nimefatilia sana habari hii na kugundua ni gazeti moja tu, wenyewe wanasema local news paper (H-METRO) la huko africa kusini ndo limeripoti, kwa hiyo kila website, blog sijui insta, fb wamerefer hilo gazeti kama chanzo chao cha habari
Tatu, gazeti lenyewe halina picha hata moja inayohusiana na kifo hicho kipya
Nne, hakuna chombo kingine chochote kikubwa cha habari SA ambacho kimeripoti hili ukizingatia SABC walifatilia habari ya ufufuo wake kwa kina sana
Kwa hiyo inaweza kuwa kweli lakini habari iliyopatikana haijitoshelezi
Pengine wanandugu walitaka kufanya habari hii siri huenda mwenzao mmoja kawasaliti ndo maana hamna uthibitisho wowote
Sent using Jamii Forums mobile app