Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

Ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii "michungaji pesa" ni mimafia zaidi ya CIA na MOSAD, usikute limemuua ili asije toa siri zaidi, licha ya kuwa alikiri usanii
 
Mtoa mada next time unapoleta uzi kama huu fanya utafiti zaidi,vyanzo vingi vya habari ni vya fake news,habari kama hii ingekuwa ni kweli ingetangazwa na vyombo vya uhakika always take with a pitch of salt habari kama hii.hajafa bado na yupo hai for now
 
Vyanzo kama vipi. Sababu nimeitoa swahili times (wapo verified twitter).

Na kuna mdau kaweka link hapo juu. Hebu nipe vyanzo unavyoona ni vya kuaminika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wachungaji wanaoweza kufanya maigizo haya wanakuwa ni Mafia na kama ilivyo kawaida ukifanya 'dili' na likafanikiwa au likashindikana na hilo linapaswa kubaki siri unapaswa 'kupotezwa' ili usitoe siri
 
Back
Top Bottom