Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Hana zaidi ya misimu mitatu nje.
Ni bora akacheze england yule jama tizi anapiga sio poa. Anaweza kujituma akafikisha goli 12+ kwa msimu.
Baada ya hapo anarudi kumalizia boli bongo kama si china. Maana ligi ya kule si ngumu sana.
Hivi kwa kiwango chake braza unahisi hadi uingereza atakuwa maarufu na uwezo wa kutosha
Ndoto bila pesa..... Sio malengo.
Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...
Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...
Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.
No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.
Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
England ndo kuna pesaNdoto bila pesa..... Sio malengo.
Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...
Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...
Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.
No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.
Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
Ndio mambo ya soka hayo, ndio maana nasema samata aserembe mjandiko kwenye imlaHata pozuelo nilitegemea kumuona england yule jamaa. Lakini nilikuja shangaa yuko sijui uturuki kama sio Cyprus.
Mkuu uko sawa kabisa broo ,mtumie sms kama una number yake please. Huna inafiki kabisaNdoto bila pesa..... Sio malengo.
Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...
Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...
Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.
No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.
Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
Mbona kingereza cha kibongo kabisa hiki[emoji3]
Subiri tuone
Mbona price tag yake ndogo sana?
Aaah okay, ila sasa na yeye asiende timu kubwa sana.. achague timu isiyo na pressure ya matakeo ili awe huru kuchezaKubwa mkuu wanaangalia vitu vingi vitu km umri, mvuto wa mchezaji kibiashara (hapa weusi wanakuwa devalued) nchi anayotoka nk
Aaah okay, ila sasa na yeye asiende timu kubwa sana.. achague timu isiyo na pressure ya matakeo ili awe huru kucheza
PesaAaah okay, ila sasa na yeye asiende timu kubwa sana.. achague timu isiyo na pressure ya matakeo ili awe huru kucheza
Pili akicheza let sayAaah okay, ila sasa na yeye asiende timu kubwa sana.. achague timu isiyo na pressure ya matakeo ili awe huru kucheza
Club kama Roma ni club kubwa sana unatakiwa uwe una perform week in/out .. anyway lakini tumwachie yeye mwenyewe anajuaPesa
Fedha
Ndio kila kitu mzeee baba
Aende tuu team kubwa aisee hata Roma au Lyon atalipwa vizuri sana atakuwa tajiri
Mana kimpira umri wake sio Rafiki sana aiseee....
hadi january 2019 price yake ilikuwa euro milion 4 ,levante ya spain walimtaka wakakazana kutoa milion 2 ikashindikana,genk wakampa mkataba mpya na kumpandisha hadi milion 12 kumbuka genk walimtoa mazembe kwa euro laki 8 na mazembe walimtoa simba kwa dollar 100,000 ,simba walimtoa lyon kwa ahadi ya gari la gx 100 walilomsumbua kumpa hadi akasusa,mazembe hapa watalamba asilimia 20 ya hizo milion 12.Ni nyingi sana ,akifanya vyema in one year atafika hata milion 25Mbona price tag yake ndogo sana?