Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Hivi kwa kiwango chake braza unahisi hadi uingereza atakuwa maarufu na uwezo wa kutosha
Hana zaidi ya misimu mitatu nje.
Ni bora akacheze england yule jama tizi anapiga sio poa. Anaweza kujituma akafikisha goli 12+ kwa msimu.
Baada ya hapo anarudi kumalizia boli bongo kama si china. Maana ligi ya kule si ngumu sana.
 
Ishu sio umaarufu. Kikubwa atimize ndoto zake.
Mengine hatuwezi jua.
Me kwa rika lake naona poa tu aende england. Maana amebakiza wastani miaka 4-5 tu ya soka.
Hivi kwa kiwango chake braza unahisi hadi uingereza atakuwa maarufu na uwezo wa kutosha
 
Ndoto bila pesa..... Sio malengo.

Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...

Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...

Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.

No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.

Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
 
Kama ishu ni pesa england ndio kwenye pesa

England ndo kuna pesa
 
Hata pozuelo nilitegemea kumuona england yule jamaa. Lakini nilikuja shangaa yuko sijui uturuki kama sio Cyprus.
Ndio mambo ya soka hayo, ndio maana nasema samata aserembe mjandiko kwenye imla

Pozuelo yuko canada huko anakipiga toronto fc, halafu yule kama anishia vile, maana alianzi timu nzuri, kakipiga betis, swansea, rayo vallecano, kisha ndio genk sasa Toronto fc.
 
Ndoto bila pesa..... Sio malengo.

Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...

Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...

Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.

No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.

Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
Mkuu uko sawa kabisa broo ,mtumie sms kama una number yake please. Huna inafiki kabisa
 
.
SAM THE MAN Brighton lead Aston Villa in £12m transfer chase for Tanzania striker Mbwana Samatta

Exclusive
  • By David Coverdale
  • 5th June 2019, 2:02 pm
  • Updated: 5th June 2019, 2:49 pm
BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta.
The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the £12million-rated Tanzania international.
 Brighton lead chase for Genk forward Mbwana Samatta
2
Brighton lead chase for Genk forward Mbwana SamattaCredit: Getty - Contributor
And Samatta, 26, is understood to be keen to move to England after an outstanding season in Belgium’s top flight.
He scored 23 goals to help Genk lift the title and also won the Ebony Shoe - an award given to Belgium’s best player of African descent.

The gong has previously been picked up by Romelu Lukaku, Vincent Kompany and Michy Batshuayi.
Samatta will lead the line for Tanzania at the African Nations Cup later this month - the first time his country has qualified for the event since 1980.

But after the tournament has finished, he hopes to leave Genk, who he joined in January 2016 from Congo club TP Mazembe, and come to the Premier League.
Brighton have been monitoring Samatta for some time and ex-boss Chris Hughton was a big fan, while new chief Graham Potter also rates the forward.
But they face competition from a number of their top-flight rivals, as well as clubs on the Continent, including Roma and Lyon.
 New Brighton boss Graham Potter wants to add firepower to his new squad
2
New Brighton boss Graham Potter wants to add firepower to his new squadCredit: PA😛ress Association
 
Namshauri samatta....
Kuwa aende moja kwa moja England mana huko maslahi mapana sana...

Pia Umri majeraha nayo huwezi jua

Kwaio asiache fursa
 
Nilivyomsoma dogo samata sasahivi anahitaji fame tu
Ndio maana yupo tayari kuondoka timu inayocheza uefa msimu ujao anakubali kwenda timu ambayo haina uhakika kuingia top ten epl
Aaah okay, ila sasa na yeye asiende timu kubwa sana.. achague timu isiyo na pressure ya matakeo ili awe huru kucheza
 
Mungu amsaidie apate club kubwa na maarufu.
 
Pesa
Fedha

Ndio kila kitu mzeee baba

Aende tuu team kubwa aisee hata Roma au Lyon atalipwa vizuri sana atakuwa tajiri

Mana kimpira umri wake sio Rafiki sana aiseee....
Club kama Roma ni club kubwa sana unatakiwa uwe una perform week in/out .. anyway lakini tumwachie yeye mwenyewe anajua
 
Mbona price tag yake ndogo sana?
hadi january 2019 price yake ilikuwa euro milion 4 ,levante ya spain walimtaka wakakazana kutoa milion 2 ikashindikana,genk wakampa mkataba mpya na kumpandisha hadi milion 12 kumbuka genk walimtoa mazembe kwa euro laki 8 na mazembe walimtoa simba kwa dollar 100,000 ,simba walimtoa lyon kwa ahadi ya gari la gx 100 walilomsumbua kumpa hadi akasusa,mazembe hapa watalamba asilimia 20 ya hizo milion 12.Ni nyingi sana ,akifanya vyema in one year atafika hata milion 25
 
Back
Top Bottom