Ulitaka aongee cha wapi mkuuMbona kingereza cha kibongo kabisa hiki[emoji3] joke
Subiri tuone
Mpira wa sasa sio ule wa zamani tuliozoea. Watu wanacheza vizuri mpaka miaka 35+.Ishu sio umaarufu. Kikubwa atimize ndoto zake.
Mengine hatuwezi jua.
Me kwa rika lake naona poa tu aende england. Maana amebakiza wastani miaka 4-5 tu ya soka.
Hakyamungu....bahati ya kucheza England mm siwezi iacha.... Wanyama alitoka Celtic inayotesa Scotland akaenda soton...Leo yupo toti....kwanza akienda uingereza atakuwa the first Tanzanian to play in EPL.....Kwan ww hupendi kuzifunga liva,city,asenali,cheli,man u na city??....uefa mechi chache tu umetoka na kusahaulika....Ndoto bila pesa..... Sio malengo.
Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...
Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...
Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.
No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.
Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
Hakyamungu....bahati ya kucheza England mm siwezi iacha.... Wanyama alitoka Celtic inayotesa Scotland akaenda soton...Leo yupo toti....kwanza akienda uingereza atakuwa the first Tanzanian to play in EPL.....Kwan ww hupendi kuzifunga liva,city,asenali,cheli,man u na city??....uefa mechi chache tu umetoka na kusahaulika....
Samatha hana kitu tatizo... Zali tu linamuangukia angukia... Awe mpole atulie pale.... Anapoenda anaenda timiza ndoto lakini anaenda potea mazima.
Historia ataiweka kwenye UEFA.
Sijawahi ona timu ya ubelgiji inafanya wonders uefa ..... Zaidi ya hapo aendelee kuwa tegemeo wa Genk ambayo nimeijua alipotua huko....
Sasa iyo brighton itagusa hata iyo uefa ... Zaid zaid . atajikuta daraja la kwanza tu chap... Au majeruhi wa maisha
Akija EPL ndio bora Zaidi maana ataonekana muda mrefu. UEFA GENK inaweza isivuke hata kwenye makundi. Timu kubwa sasa hivi zinaogopa kubahatisha mchezaji anayetoka kwenye nchi hafifu kisoka na pia anatoka kwenye ligi hafifu ulaya. Akiwa kwenye mojawapo ya timu za EPL timu kubwa zitamuonaAkipige uefa ili aonekane zaidi
Akifanya vizuri, ataongeza thamani maradufu
Hasa wanaangalia vitu viwiliKubwa mkuu wanaangalia vitu vingi vitu km umri, mvuto wa mchezaji kibiashara (hapa weusi wanakuwa devalued) nchi anayotoka nk