Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Narudia usemi wangu Samatta asiende EPL aende Italy angalau akajifunze zaidi.
Samatta aachane na mihemko ya Umri unamtupa mkono afanye kama Mo salah
 
Ishu sio umaarufu. Kikubwa atimize ndoto zake.
Mengine hatuwezi jua.
Me kwa rika lake naona poa tu aende england. Maana amebakiza wastani miaka 4-5 tu ya soka.
Mpira wa sasa sio ule wa zamani tuliozoea. Watu wanacheza vizuri mpaka miaka 35+.
Mimi sioni ishu kwenye umri wake. Akijitunza vizuri anaweza kuwa kwenye kiwango hadi miaka kumi ijayo.
 
Nyie ndo mnamwamlia cha kufanya? nani anawapangia malengo yenu ? baba zenu waliwakataza kucheza mpira na kuwakomalia tuition za jioni na masomo, babake Samata alimkazania mpira hivyo acheni kihelehele
 
Bora aende England maana unalipwa pesa nzuri kingine ukifeli England ni rahisi kupata timu nyingine za daraja la kati za ligi kubwa tu pia hata akitaka kurejea Genk itakua easy coz atakuwa na profile kubwa
Ndoto ya Sammata ilikua kucheza EPL kwenye timu yoyote.Nafasi ya kutimiza ndoto haijagi kibwegebwege inakujaga kama ngekewa muda mwingine ikimbilie hii Captain
 
Hivi hawa ndugu zetu wa IRAN hawajaonyesha nia ya kumsajili!
 
Ndoto bila pesa..... Sio malengo.

Mi nashauri abaki tu.. Mafanikio aliyoyapata genk hawez kuyapata sehemu yoyote ingine... Kiwango chake cha kawaida yuuule jamaa...

Upepo umemkalia vizur na league sio ngumu saaana...

Uingereza league ngumu... Anaweza akajikuta msimu mzima majeruh dadek.

No goals....
No publicity.
Haonekani teeeena.

Aridhike tu amek pesa atimize ndoto.
Hakyamungu....bahati ya kucheza England mm siwezi iacha.... Wanyama alitoka Celtic inayotesa Scotland akaenda soton...Leo yupo toti....kwanza akienda uingereza atakuwa the first Tanzanian to play in EPL.....Kwan ww hupendi kuzifunga liva,city,asenali,cheli,man u na city??....uefa mechi chache tu umetoka na kusahaulika....
 
Samatha hana kitu tatizo... Zali tu linamuangukia angukia... Awe mpole atulie pale.... Anapoenda anaenda timiza ndoto lakini anaenda potea mazima.

Historia ataiweka kwenye UEFA.

Sijawahi ona timu ya ubelgiji inafanya wonders uefa ..... Zaidi ya hapo aendelee kuwa tegemeo wa Genk ambayo nimeijua alipotua huko....
Samatha hana kitu tatizo... Zali tu linamuangukia angukia... Awe mpole atulie pale.... Anapoenda anaenda timiza ndoto lakini anaenda potea mazima.

Historia ataiweka kwenye UEFA.
 
Sasa iyo brighton itagusa hata iyo uefa ... Zaid zaid . atajikuta daraja la kwanza tu chap... Au majeruhi wa maisha
 
Kama anajua EPL hata timu ikishuka yy hatashuka........ligi kama jupilee ni ya kukuandaa ucheze ligi kubwa na si vinginevyo......... Hakuna mchezaji bora anayebaki kule... Hazard, de bruyne wote wamepakimbia huko.
Sasa iyo brighton itagusa hata iyo uefa ... Zaid zaid . atajikuta daraja la kwanza tu chap... Au majeruhi wa maisha
 
Akipige uefa ili aonekane zaidi

Akifanya vizuri, ataongeza thamani maradufu
Akija EPL ndio bora Zaidi maana ataonekana muda mrefu. UEFA GENK inaweza isivuke hata kwenye makundi. Timu kubwa sasa hivi zinaogopa kubahatisha mchezaji anayetoka kwenye nchi hafifu kisoka na pia anatoka kwenye ligi hafifu ulaya. Akiwa kwenye mojawapo ya timu za EPL timu kubwa zitamuona
 
Kubwa mkuu wanaangalia vitu vingi vitu km umri, mvuto wa mchezaji kibiashara (hapa weusi wanakuwa devalued) nchi anayotoka nk
Hasa wanaangalia vitu viwili
  1. Nafasi ya kisoka ya nchi anayotoka
  2. Ubora wa ligi anayotoka
Pamoja na kuwa kumsajili mchezaji ni gambling business, lakini risk ya gambling ni kubwa Zaidi kama mchezaji anatoka kwenye nchi iliyo duni kisoka au anatoka kwenye ligi duni kama ya ubelgiji
 
Nitakuwa mtu wa mwisho duniani kukubali kwamba samatta anaweza kucheza epl
 
Back
Top Bottom