Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Brighton ya England yaongoza mbio za kumsajili Mbwana Samatta

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
BRIGHTON YA ENGLAND YAONGOZA MBIO ZA KUMSAJILI MBWANA SAMATTA

Timu ya Brighton inaongoza mbio za Usajili za timu kutoka Ligi Kuu ya England ambazo zimeonyesha nia ya kumsajili Nyota wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayechezea klabu ya Genk ya Ubelgiji
Seagulls, na timu kongwe ya Aston Villa iliyopanda Daraja msimu huu,Leicester, Watford na Burnley zote zina mmezea mate nyota huyo mwenye thamani ya kiaisi cha Pauni milioni 12- ili kumsajili.

Samatta,mwenye umri wa miaka 26 imefahamika ana shauku ya kuhamia kwneye Ligi kuu ya England baada ya kuwa na msimu mzuri kwenye Ligi Kuu ya Ubelgiji.
Amefunga magoli 23 na kuisaidia Genk kutwaa taji la Ligi Kuu pamoja na Tuzo Binafsi ya Kiatu cha Ebony.

Samatta atakiongoza kikosi cha Tanzania kwenye michuano ya Afcon baadaye mwezi huu,ni mara ya Kwanza kwa nchi yake kufuzu kwenye michuano hiyo tokea mwaka 1980.

Chanzo ya habari hii:The Sun la Uingereza .

Copy & paste.
 
Umri haurudi nyuma mkuu. Unavyozidi kuwa mkubwa na bei nayo inaweza kushuka

Aking'ara uefa
1. Atauzwa kwa bei ghari zaidi

2. Atalipwa vizuri zaidi

3. Uwezekano wa kununuliwa na vilabu bora zaidi
 
Mkuu kwa umri wake sasa yeye mwenyewe hatarajii kucheza klabu kubwa sana mkuu.
Kama nilivyosema umri unamuacha
Hapo alipo unajua kuwa huenda ana misimu miwili au mitatu tu?
Kimpira mtu ukifika tu 30 - 32 baasi kiwango kinaanza kushuka. Wachache sana wanafika 35. Lkn sio kwa sisi ngoz nyeusi.
Aking'ara uefa
1. Atauzwa kwa bei ghari zaidi

2. Atalipwa vizuri zaidi

3. Uwezekano wa kununuliwa na vilabu bora zaidi
 
Kama hii habari inaukweli ndani yake, basi Genk wanajiandaa kuwatapeli watu.
 
Mpira hauchezwi chumbani.
Kila kitu kiko wazi na mpaka timu inakusajili wamekufatilia sana na kujiridhisha.
Kama hii habari inaukweli ndani yake, basi Genk wanajiandaa kuwatapeli watu.
 
Uingereza ushindani ni mwingi..

Kwa mtu km samata kuna mawili.
Aidha kupoteza kabisa au kuongeza juhud kabisa.

Maana kubattle na waseenge km manie... Sterling... Gundogan... Sio kazi simple.

Unaweza kuta anamaliza msimu kwa magoli ma3 tu dadek... Na uefa akiwa uingereza kwa timu km brighton ataiskia kwenye bomba tu.


Ili amaintain kiwango na status yake... Ni vyema abakie pale pale tu aiseee
 
Hata pozuelo nilitegemea kumuona england yule jamaa. Lakini nilikuja shangaa yuko sijui uturuki kama sio Cyprus.
Bahati haiji mara 2, hasa kwa wachezaji wa kiafrika ambao umri kwetu ni fix..

Vipi akiflop msimu ujao, vipi majeruhi yakimkuta huko!?

Niko karelis aliyekuwa mshindani wa samatta yupo kwao huko paok majeruhi yalimfanya vibaya.
 
Hana zaidi ya misimu mitatu nje.
Ni bora akacheze england yule jama tizi anapiga sio poa. Anaweza kujituma akafikisha goli 12+ kwa msimu.
Baada ya hapo anarudi kumalizia boli bongo kama si china. Maana ligi ya kule si ngumu sana.
Uingereza ushindani ni mwingi..

Kwa mtu km samata kuna mawili.
Aidha kupoteza kabisa au kuongeza juhud kabisa.

Maana kubattle na waseenge km manie... Sterling... Gundogan... Sio kazi simple.

Unaweza kuta anamaliza msimu kwa magoli ma3 tu dadek... Na uefa akiwa uingereza kwa timu km brighton ataiskia kwenye bomba tu.


Ili amaintain kiwango na status yake... Ni vyema abakie pale pale tu aiseee
 
Back
Top Bottom