Bring back our Channel 5

ridculouz

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
910
Reaction score
499
Mimi ni mfuatiliaji wa hii channel ya vijana lakini naona saizi wanatuwekea bongo movies tu kila siku ni bora wange iacha itwe chanel 5 kuliko EATV na wakati hao wakenya na waganda hawana hata matangazo kwa hiyo chanel.

Hebu fikiria zamani kulikuwa na vipindi kama Afro beat ya Ben na Maimartha, Planet bongo ya Salama, Friday night ya Ssebo, In da house na Jukbox ya Kitenge(O timer) . Hivi ni baadhi ya vipindi bomba lakini saizi hawana jipya hata comedy yenyewe utumbo mtupu.

Ni hayo tu.

Sitaki maswali sijajianda
 
naunga mkono hoja mi siku hizi naangalia mkasi tuu na asubuhi mara chach nikikuta nyimbo za ulaya za zamani na kipindi cha ujenzi siku moja moja zembwela uswazi
kwa hapa bongo sasa hivi naangalia sana tv one
 
Ni kweli jamaa wamepunguza ubunifu kwa kiasi flani Lakiniii kwa nini hutaki Maswaliii?? Wewe ni ndugu yake na Sitti??? teh teh teh Three million for No reason
 
naunga mkono hoja mi siku hizi naangalia mkasi tuu na asubuhi mara chach nikikuta nyimbo za ulaya za zamani na kipindi cha ujenzi siku moja moja zembwela uswazi
kwa hapa bongo sasa hivi naangalia sana tv one

Yaani TV station sasa hivi zinaboa hatari...hiyo tv1 hata siikubali kihiivyo
 
Yaani TV station sasa hivi zinaboa hatari...hiyo tv1 hata siikubali kihiivyo[/QUOT]Mi bora niangalie vipindi kama Catfish, disaster date, the ex and why na my super sweet 16 kwenye MTV kuliko hizi stesheni za kibongo
 
Hahaaaaa sitaki maswali sijajiandaaaa
 
naunga mkono hoja mi siku hizi naangalia mkasi tuu na asubuhi mara chach nikikuta nyimbo za ulaya za zamani na kipindi cha ujenzi siku moja moja zembwela uswazi
kwa hapa bongo sasa hivi naangalia sana tv one

Me too haichoshi ....
 
umeona ee full kuigana huwa nafikiri hawajifunzi kwa MTV nilitegemea EATV walete tuzo zao wenyewe kwa kipindi walichodumu.

Kuna madem wakiwa kwenye position hawashauriki! Wao wanajua kila kitu! Uzuri wako jf tangu 2007 ujumbe wataupata! Staki maswali pia sijajiandaa! Haha
 
Yaani TV station sasa hivi zinaboa hatari...hiyo tv1 hata siikubali kihiivyo

tv one nzuri clouds kwa kweli mi kwangu haipo na siiweki kuna kipindi ilikuwepo yaani inapita ht siku nzima sijaweka mi siwakubali yaani vipindi vyao labda documentary kidogo
 
umeona ee full kuigana huwa nafikiri hawajifunzi kwa MTV nilitegemea EATV walete tuzo zao wenyewe kwa kipindi walichodumu.

Hiiii ni wazo zuri sana, nashangaa kwanini ipp linawashinda
 
hawana watangazaji wanaoweza kutangaza vipindi 2 au 3 tofauti mfano skonga hakuna anaekimudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…