NimeshAngaa Sana Kwa Mda nilikua mbali na tv Kutokana na Miangaiko ila eatv kwa sasa Haina MVUTO... KUna Vipindi Vilikua bomba sana naona hakuna Skonga wanarudia za zamani, Top Teni Hakuna, Nyimboza Mbele Mpya Hakuna.. Sawa mnawapa nafasi wasanii wa ndani basi pigeni nymbo tofauti tofauti sio nikiiona nymbo tarehe moja mpaka tarehe 30 iwe hyo hyo... Bongo movie ndo imeharibu ratiba za pale kabisaaaa...
binafsi vipindi ambavyo ningependa virudishwe ni
1 Top Ten.. Acha ya miaka ya karibuni ya uganda kenya natz nataka ile iliyokua mixture
2 Hip Hop base
3 In DA House
4 Skonga watafute presenter wa Kuiendeleza
5 Miziki Mipya IwepoPia YApande zote
6 the Exclusive (hiki kilikua ni kipindi cha kupiga nymbo mpya tuu)
7 Kurudia Rudia miziki na Mamovie ya Kibongo Inakera
baadhi ya Vpnd Vpo Nje yamanagement ya eatv ila tungependa Kuviona
mfano FId style Friday
Wasipo jirekebisha Wataumbuka Wenzao wanajipanga kilasiku