Bring back our Channel 5

Bring back our Channel 5

NimeshAngaa Sana Kwa Mda nilikua mbali na tv Kutokana na Miangaiko ila eatv kwa sasa Haina MVUTO... KUna Vipindi Vilikua bomba sana naona hakuna Skonga wanarudia za zamani, Top Teni Hakuna, Nyimboza Mbele Mpya Hakuna.. Sawa mnawapa nafasi wasanii wa ndani basi pigeni nymbo tofauti tofauti sio nikiiona nymbo tarehe moja mpaka tarehe 30 iwe hyo hyo... Bongo movie ndo imeharibu ratiba za pale kabisaaaa...

binafsi vipindi ambavyo ningependa virudishwe ni
1 Top Ten.. Acha ya miaka ya karibuni ya uganda kenya natz nataka ile iliyokua mixture
2 Hip Hop base
3 In DA House
4 Skonga watafute presenter wa Kuiendeleza
5 Miziki Mipya IwepoPia YApande zote
6 the Exclusive (hiki kilikua ni kipindi cha kupiga nymbo mpya tuu)
7 Kurudia Rudia miziki na Mamovie ya Kibongo Inakera
baadhi ya Vpnd Vpo Nje yamanagement ya eatv ila tungependa Kuviona
mfano FId style Friday

Wasipo jirekebisha Wataumbuka Wenzao wanajipanga kilasiku
hapo umenena top ten hii ya sasa inaboa ile ya mwanzo ndo nzuri, kuongezea tu warudishe Jukbox na mtangazaji awe yule yule O timer (kitenge), afrobeat irudi na skonga watafute mtangazaji mahiri mwenye IQ kubwa
 
mm nadhan eatv ndo wameimarika sahv kushinda kipindi chochote kile..mfano kila kitu unakipata tofauti na zaman..mfano..habar kdogo...muzik kdogo..ss zaman walikua wanapiga miziki mpaka mingine..wanairudia rudia kwnye vpind..by the way kwa ss..michezo..kurasa etc..kwa kwel wanajitahd...big up kwao
 
Kweli pamoja na hayo yote unaweza kukubaliana na mtu anaye sema channel 5 siyo wabunifu?
Unajua vijana tunafikiri channel five wanapo sema channel ya vijana basi wawe wanaonesha muziki na macelebrity basi..

Hakuna channel ya burudani yenye ubunifu mzuri hapa bongo kama Eatv! Unajua walipo buni KURASA walijua kabisa vijana wengi hawapendi habari na kama watataka kuiona basi kwa ufupi ndio maana KURASA inatoa habari karibu zote kwa ufupi hata ukikosa ITV basi pale umepata! Vijana tuna sahau kuwa lengo si kuburudisha tuu Bali hata kuhabarisha!

Kipindi kama Hot mix ni Moja ya vipindi bora kabisa kwenye station za kibongo na kimefanya Channel five kuwa nawaangaliaji hata wa rika lingine maana kupitia kipindi hiki vijana wanaelimishwa ipasavyo!

Kipindi kama ujenzi ni kipindi kizuri sana kwa rika lote kinasaidia vijana na kuwakumbusha kuhusu maendeleo siyo kuwaza kurap tuu na kuvaa milegezo!

Mimi nafikiri tunapswa kuondoa mentality tuliyo nayo vichwani mwetu kuwa ujana ni burudani tuu!

Kusema channel 5 siyo wabunifu ni kuishangaza dunia!

uko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom