Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Does that justify yeye kupotezwa????Mjinga sana huyu. Wenzake wanafanya umbea wanatumia fake account. Yeye anajiamini vipi kufanya umbea kwa verified ID?
Sasa dili za matangazo si lazima tu ujulikane..maana anapata matangazo adi kwenye makampuni makubwa.. Sasa ataandika mkataba kwa kutumia fake Id?Mjinga sana huyu. Wenzake wanafanya umbea wanatumia fake account. Yeye anajiamini vipi kufanya umbea kwa verified ID?
HahahahahahaKwa hiyo taifa limempoteza mtu muhimu?
Ila huyo sidhani kama ni wasio julikana
Lakini tukubali tu. Hali yetu siyo kwa kweli . Ingawa sijui umbea wake uliegemea mambo yepi ?!Umbea sio mzuri, kaharibu maisha ya watu wa ngapi hadi hapo? Halafu haya masuala ya kujiteka ili kutafuta umaarufu yameshapitwa na wakati.
Huyo ni mbea wa wasanii tu, diamond kalala na nani, menina uchi wake upoje basi! Hana muda hara kidogo na siasaLakini tukubali tu. Hali yetu siyo kwa kweli . Ingawa sijui umbea wake uliegemea mambo yepi ?!