Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina la Michael Lema
[emoji1614]Lema Alizaliwa Tarehe 13/12/1999 Mkoani Singida..Itigi..ni Mtanzania Halisi Kabisa Ila Anawafaidisha Wazungu Kwa Sasa ...Lema Anacheza SturmGruz katika Ligi Kuu ya Huko Austria 'Bundesliga" Ni Attacking Midfielder Ambaye Sijamshuhudia Hapa Nyumbani Kwetu Kwa Miaka Mingi sasa Licha Ya Umri wake Mdogo Lemar ni Mashine ya Kazi haswaa .....Walioangalia Mechi Wanaelewa nini Namaanisha
[emoji1614]Lema Kachezea Timu za Taifa Za Austria Kwa Ngazi Zote Sasa na Kabakiza Timu ya Wakubwa tu ...Na Akichezea Timu Kubwa ndo basi tena Tumsahau kama ni mchezaj wetu
TFF hawajachelewa Kumrudisha Mtu wetu Nyumbani Maana hata yeye Anatamani Sana Ila Haoni Anayemvuta Kuja Kulitumikia Taifa lake Ndiyo maana anachezea Timu za Wazungu Sasa
[emoji1614]Katika Mahojiano yake Yote nliyobahatika Kuyaskia Lema hafichi Mahaba yake kwaTZ