Bring back our son

Bring back our son

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina la Michael Lema

[emoji1614]Lema Alizaliwa Tarehe 13/12/1999 Mkoani Singida..Itigi..ni Mtanzania Halisi Kabisa Ila Anawafaidisha Wazungu Kwa Sasa ...Lema Anacheza SturmGruz katika Ligi Kuu ya Huko Austria 'Bundesliga" Ni Attacking Midfielder Ambaye Sijamshuhudia Hapa Nyumbani Kwetu Kwa Miaka Mingi sasa Licha Ya Umri wake Mdogo Lemar ni Mashine ya Kazi haswaa .....Walioangalia Mechi Wanaelewa nini Namaanisha

[emoji1614]Lema Kachezea Timu za Taifa Za Austria Kwa Ngazi Zote Sasa na Kabakiza Timu ya Wakubwa tu ...Na Akichezea Timu Kubwa ndo basi tena Tumsahau kama ni mchezaj wetu

TFF hawajachelewa Kumrudisha Mtu wetu Nyumbani Maana hata yeye Anatamani Sana Ila Haoni Anayemvuta Kuja Kulitumikia Taifa lake Ndiyo maana anachezea Timu za Wazungu Sasa
[emoji1614]Katika Mahojiano yake Yote nliyobahatika Kuyaskia Lema hafichi Mahaba yake kwaTZ
IMG-20191016-WA0008.jpeg
 
Yaani akirudi hapa atashangiliwa siku moja, baada ya hapo yatafuata majungu fitina, mwishowe atakufa maskini.
Lema usidanganyike huku ni nusu ya KUZIMU NA WATANZANIA WENGI WAO NI MASHETANI
namshauri akomae huko huko tu

nadhani Austria mkwanja upo na kila kitu kipo sasa anataka arud tena huku madongo kuinama kufanyaje? ntamuona wa ajabu sana akirudi kuchezea Taifa stars ya kuunga unga
 
Mleta mada hajasema aje kuchezea klabu za Tz bali TFF wamfuate aje kuchezea National team, tusipoteze mchezaji potencial kama huyo. Ni vigumu kupata mchezaji kama huyo.
Aungane na Samata kwenye N Team.
Huyu TD wa TFF afanye hiyo kazi!!
 
Huku watamuharibu huyoo
Watataka kumtumia kisiasa watamtia nuksi ataanza kupata enjury mfululizo
 
Mleta mada hajasema aje kuchezea klabu za Tz bali TFF wamfuate aje kuchezea National team, tusipoteze mchezaji potencial kama huyo. Ni vigumu kupata mchezaji kama huyo.
Aungane na Samata kwenye N Team.
Huyu TD wa TFF afanye hiyo kazi!!
Atakuwa na upungufu wa akili kama atakuja kucheza kwenye timu ya taifa hovyo kama hii yetu.
 
Ningetamani sana serikali ya ccm ifikie wakati iruhusu pia na suala la uraia pacha ili tupate wachezaji wengi zaidi wa kuisaidia timu ya Taifa kama wafanyavyo wenzetu.

Kuhusu huyo dogo, nina uhakika TFF watafanyia kazi hii taarifa. Asipoitwa, wala siyo dhambi akichukua huo uraia wa Austria. Ni wajibu wake kupigania maisha mazuri ya kwake na familia yake.
 
Akae huko huko huyo mchaga mnyaturu akija huku anakutana na so called kupigwa misumari kama yanga wameangalia kwenye rada yao na kukuta dude lililochimbiwa uwanja wa taifa sii mwanipembe wa nchi hii na kuamua kutimkia mwanza kwa usalama wa vipaji vyao ndio umlete huyu kinda ataweza kupambana na hayo mauzauza ambayo makonki wameyashindwa?
 
Arudi huku nyuma afuate nini? Hebu mwacheni kijana apambanie maisha yake huko huko mbele!
Lema nisalimie marafiki zako wote hapo mtaa wa sudrsvtrdvngdk, pia nisalimie rafiki yangu schwezer Mackintosh
 
Ni vyema arudi kuunga mkono juhudi za serikalu ya awamu ya tano.
 
[emoji1614]Uliangalia Mechi ya England U 20 Vs Austria ? ...Basi kama Ulibahatika Kuitazama Hiyo Mechi Ambayo Hudson Odoi Pamoja na Eddie Nketia Waliichakaza Austria Nadhani Ulipata Kuliskia Jina la Michael Lema

[emoji1614]Lema Alizaliwa Tarehe 13/12/1999 Mkoani Singida..Itigi..ni Mtanzania Halisi Kabisa Ila Anawafaidisha Wazungu Kwa Sasa ...Lema Anacheza SturmGruz katika Ligi Kuu ya Huko Austria 'Bundesliga" Ni Attacking Midfielder Ambaye Sijamshuhudia Hapa Nyumbani Kwetu Kwa Miaka Mingi sasa Licha Ya Umri wake Mdogo Lemar ni Mashine ya Kazi haswaa .....Walioangalia Mechi Wanaelewa nini Namaanisha

[emoji1614]Lema Kachezea Timu za Taifa Za Austria Kwa Ngazi Zote Sasa na Kabakiza Timu ya Wakubwa tu ...Na Akichezea Timu Kubwa ndo basi tena Tumsahau kama ni mchezaj wetu

TFF hawajachelewa Kumrudisha Mtu wetu Nyumbani Maana hata yeye Anatamani Sana Ila Haoni Anayemvuta Kuja Kulitumikia Taifa lake Ndiyo maana anachezea Timu za Wazungu Sasa
[emoji1614]Katika Mahojiano yake Yote nliyobahatika Kuyaskia Lema hafichi Mahaba yake kwaTZView attachment 1235398
Acha abaki huko huko kama yule wa Denmark, huku michosho tu
 
Arudi huku nyuma afuate nini? Hebu mwacheni kijana apambanie maisha yake huko huko mbele!
Lema nisalimie marafiki zako wote hapo mtaa wa sudrsvtrdvngdk, pia nisalimie rafiki yangu schwezer Mackintosh
Si ndiyo hapo sasa,upuuzi wa bongo huku utampotezea kipaji chake
 
Mleta mada hajasema aje kuchezea klabu za Tz bali TFF wamfuate aje kuchezea National team, tusipoteze mchezaji potencial kama huyo. Ni vigumu kupata mchezaji kama huyo.
Aungane na Samata kwenye N Team.
Huyu TD wa TFF afanye hiyo kazi!!
Hata national team yetu imekaa kimajungu,fitina na umbea, acha acheze huko huko,Tz aje na passport tu
 
Back
Top Bottom