Bring back Wema

Bring back Wema

umekurupuka.
Sikukurupuka maana habari ilikuwa haijawekwa vizuri kama sasa bali ilikuwa kama mafungu ya nyanya na hizo credit na link ilitakiwa kuwekwa post ya juu!
Samahini Lakini wakishua!
 
Wema....

From miss Tanzania to dancer... very soon atakua stripper
 
Wema kajipeleka kwa domo ili amwibie vizuri huyo domo na domo nae baada ya kumwacha penny katafuta pozeo lakini hakuna mapenzi ya dhati kwa papa la mjini kama wema
 
Kutumiana kupo everywhere kwenye siasa watu wanatumiwa, makazini watu wanatumiwa, mtaani wapo wanaotumiwa......ni jukumu la mtumiwaji kuona hastaili kutumiwa na kukataa.
 
Chibu endelea na maisha yako,hujamuoa mutu.
Huyo Ubaya na teams zake wataji-sort.
Ume-struggle sana to get on top.
Hao wanaosema Ubaya amekusaidia,watuletee nyimbo aliyokuandikia then tuamini.
Maisha ni vitu vingi sio mapenzi tu,una nyota ya kukubalika very fast,so work upon it uwe legend.
HAYA TEAM WEMA SHUSHENI MITUSI!!!
 
lara 1 aliandika weeeeeeeeeeeeeeee team wema mkamnangaaaaaaaaa!
Haya sasa!
Bringbackourwema kuanzia waaapi foexampo?
Mtu kajiteka mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
lara 1 aliandika weeeeeeeeeeeeeeee team wema mkamnangaaaaaaaaa!
Haya sasa!
Bringbackourwema kuanzia waaapi foexampo?
Mtu kajiteka mwenyewe?

Watasandaaaaaaa DIAMOND FOREVAAAAA wema ni zuzu sijapata ona
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna mwanaume aliyetulia na mwenye future anaweza kuingiza dushe kwenye kitu ya huyo dada, waliompitia wote hata kwenye google unawapata, nafikiri kigodoro ni saizi yake, hongera angela damas,unakula kipupwe tu

hahahahhaha eti hata kwenye google unawapata
 
Hahaa ila ile msg ya team wema nae katoa dongo eti wanaosema aige mfano wa mamiss wenzake akina Kylin, Faraja,Nancy n.k.... eti mnataka nayeye azae na wazee au azae na kutembea na waume za watu kama Nancy na Kylin.... lol!
 
Back
Top Bottom