Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 Mar 6, 2013 #1 Habari za kuaminika zinasema kwamba Uingereza (Colonial Master) imeanza kutuma majeshi Kenya, habari zitawajia baada ya muda si mrefu!
Habari za kuaminika zinasema kwamba Uingereza (Colonial Master) imeanza kutuma majeshi Kenya, habari zitawajia baada ya muda si mrefu!
MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Mar 6, 2013 #2 Africa bwana! aibu gani hii kwa nchi yenye unafuu kiuchumi kama Kenya!
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,604 Mar 6, 2013 #3 Operation code name itakua inaitwaje...!
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 643 Reaction score 312 Mar 6, 2013 #4 hivi hawa wazungu, mbona nchi za kiafrika hazitumi jeshi kwenye chaguzi zao!!
KOMBESANA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2009 Posts 920 Reaction score 214 Mar 6, 2013 #5 Afrika ni DARK CONTINENT na wanachofanya ni kufuatilia fujo hizo kama kibaka yeyote anayefuatilia ugomvi au gari iliyopinduka siyo kwa minajili yakusaidia wala kuokoa bali KUCHINJA KUIBA NA KUHARIBU.Ninyi wachezeeni wazunguu!
Afrika ni DARK CONTINENT na wanachofanya ni kufuatilia fujo hizo kama kibaka yeyote anayefuatilia ugomvi au gari iliyopinduka siyo kwa minajili yakusaidia wala kuokoa bali KUCHINJA KUIBA NA KUHARIBU.Ninyi wachezeeni wazunguu!
T tusichoke JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 1,316 Reaction score 216 Mar 6, 2013 #6 Habari haina source? Itakuwa uzushi