Britain sends troops to Kenya!

Britain sends troops to Kenya!

Status
Not open for further replies.

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Habari za kuaminika zinasema kwamba Uingereza (Colonial Master) imeanza kutuma majeshi Kenya, habari zitawajia baada ya muda si mrefu!
 
Africa bwana! aibu gani hii kwa nchi yenye unafuu kiuchumi kama Kenya!
 
Operation code name itakua inaitwaje...!
 
hivi hawa wazungu, mbona nchi za kiafrika hazitumi jeshi kwenye chaguzi zao!!
 
Afrika ni DARK CONTINENT na wanachofanya ni kufuatilia fujo hizo kama kibaka yeyote anayefuatilia ugomvi au gari iliyopinduka siyo kwa minajili yakusaidia wala kuokoa bali KUCHINJA KUIBA NA KUHARIBU.Ninyi wachezeeni wazunguu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom