Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Picha hii ilichukuliwa mwaka 1930, hii passport walitumia raia wa India na Pakistan. Eneo lote Hilo liliitwa Indian Empire.
India na Pakistan zilipata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947, baada ya hapo watu walichagua passport ya kubeba, iwe India, Pakistan au British.