British Judge converts to Islam

British Judge converts to Islam

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
 
Last edited by a moderator:
akitishiwa tu kupewa divorse atarudi kwenye dini yake kama qaddafi wa uganda
 
Lakini ili bandiko lilifaa sana kule kwenye jukwaa la Dini/Imani.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Mtu kubadili dini na kuwa Gaidi inakuwa matangazo.
<br />
<br />
hata mimi nashangazwa na thread za huyu zombe! Waislam wangapi wanabatizwa kila siku je tuwe tunaanzisha thread kila muislamu anapobatizwa?
 
Kuna
  • wanaoona kitendo hiki ni ushindi kwa upende fulani
  • wengine wandhani naw aonaayebadili kapotea njia

Hatuwezi kujua nani yuko sahihi ila vile vile eleweni somtime "system" ndivyo zinavvyofanya kazi . So mnaoponda na kufurahia think twice. mnawezakuwa mnafuahiaau kuponda kitu ambacho sicho mnachodhani.
Aliyebadili ndio anajua hasa yeye na mungu wake
 
Hamna cha ajabu hapo! Ukiniambia Papa kasilimu labda ndio itakuwa habari. By the way, kwenye nchi zisizokuwa za kiislamu kuna uhuru wa mtu kuabudu anachokitaka. Ndio maana hata raia wengi tu toka nchi za kiislamu wanakimbilia huko kwenye uhuru.
 
Back
Top Bottom