British TV star Jade Goody dies

This is deeply saddening. Smear test ni bure kwa wanawake wote wenye umri wa miaka 25-65 hapa UK na kama wako registered na GP wanakuwa invited kwenda kufanya screening wakati unapofika lakini wengi wanapuuzia, hope kifo cha Jade kitaongeza idadi ya wanawake wanaojitokeza kufanya test ili kuepuka vifo kama hivi .
 
akapumzike Kwema Bora ameteseka Saana Mungu Amrehemu-Aamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…