This is deeply saddening. Smear test ni bure kwa wanawake wote wenye umri wa miaka 25-65 hapa UK na kama wako registered na GP wanakuwa invited kwenda kufanya screening wakati unapofika lakini wengi wanapuuzia, hope kifo cha Jade kitaongeza idadi ya wanawake wanaojitokeza kufanya test ili kuepuka vifo kama hivi .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.