Baracker Manyama
New Member
- Aug 4, 2014
- 3
- 0
Ni mwez mmoja sasa tangu serikal ilpoamua kupandsha ada vyuo vya ulimu, huku ikiwapa mtihan wa mchujo ikimaansha kwa atakayeshndwa kufksha alama 41 kila somo atarudia mwaka, lkn hadi mda huu matokeo yamekuwa na kigugumizi, pamoja na mitihan hyo kutokidhi viwango vya utungaji vya necta wanachuo hao wanashndwa kujtambua kama 1st au 2nd year, Je, serikal imejipanga kwel kuboresha elimu ktk nch yetu?.