BRN na diploma ya ualimu

Duniaze

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
148
Reaction score
23
Ndungu Wanajamvi,BRN Inatesa Sana Walimu Tarajaliwa wa Diploma Kwa Sasa, Diploma Imekua Kama Form Six! Kama Uongo Njoo Ujariau Kuonja Uone Ulimi Utakavyokatika, Matogoro STC, PG.
 
Mleta mada hajielew hata kidogo endlea kukukomaa dogo acha kuliAlia kama chululu-
 
imekuaje tena tujuze mswano

yaan ngoma zinakazwa kama advance tofauti na watu wanavyozan kitaa kuwa ualimu ni kuchukua na kuondoka nao,,,brn imekuja huku inasumbua vibaya,sup zaid ya 4 nyumbani,3 unarudia mwaka wa kwanza au kusapua,,co waambien madogo watakao kuja huku wajipange vzr na ualm,,,matogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…