Ndungu Wanajamvi,BRN Inatesa Sana Walimu Tarajaliwa wa Diploma Kwa Sasa, Diploma Imekua Kama Form Six! Kama Uongo Njoo Ujariau Kuonja Uone Ulimi Utakavyokatika, Matogoro STC, PG.
yaan ngoma zinakazwa kama advance tofauti na watu wanavyozan kitaa kuwa ualimu ni kuchukua na kuondoka nao,,,brn imekuja huku inasumbua vibaya,sup zaid ya 4 nyumbani,3 unarudia mwaka wa kwanza au kusapua,,co waambien madogo watakao kuja huku wajipange vzr na ualm,,,matogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.