Bro wangu anatafuta girlfriend

Bro wangu anatafuta girlfriend

Habari wanandugu,

Nina bro wangu anatafuta girlfriend
Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini.

Kama kuna msichana aliye serious aniPM niwaunganishe.
Hivi nyie akina anyonyile mwakipumbu mnaakili kweli asa hii issues serous ni ya kutafutiana mwambie kaka yako anyolile mwakivuzi aje mwenyewe na domo gundi lake
 
Taratibu mkuu [emoji23][emoji23]
Hivi nyie akina anyonyile mwakipumbu mnaakili kweli asa hii issues serous ni ya kutafutiana mwambie kaka yako anyolile mwakivuzi aje mwenyewe na domo gundi lake
 
Back
Top Bottom